Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,560
- Thread starter
- #81
Nani huyo?!Kumbe wewe ni muuza nyapu!!
Nani huyo?!Kumbe wewe ni muuza nyapu!!
WeweNani huyo?!
Me sabuni tyu ni kitendo cha kwenda dukani na kununua kisha narudi gheto

Hapana sina shida ya kuuuza wakati nina mume ndani ananipa kila kituWewe
Ahahahahhaha, akyanani nimecheka mpaka boss kanikata jicho!
Umpate kama Papaa Mapene au Orijinal hauchomoki mweee!
Ila hao hawapatikani sasa huku chini chini kwetu kwa akina mashkolo mageni sijui wapi, mpaka uwapandie juu wamejaaje sasa 1st class planes na 1st class hotels, afu wapo single na divorces wana hela balaa
me nikiwaambiwa wadada wa JF wajiongeze wanakataaa ndio maana wanalia lia oh wanaume this! wanaume that! sasa kama hautaki kujiongeza si utawapata akina cheap thrillers wakulize mpaka uone rangi zote duniani?!
Kiru!
Embu me nikaandike stori ya saa 12 jioni mwe!
Inshort mtu ukiwa na ki IST au volks wagen golf na vihela vya dinner sijui lunch na gasoline. I'm telling u unaweza ukawa una hondomola watoto wakali balaa....watu lazima waseme una vijiti mfukoni.
Ni ujue tu ku play ur cards right, gentleness and sincere affection, simple but good casual wears, unyunyu wa kama 70K and sweet convesations.
Aaaargh, one needs to treat a woman in such a way dem akiwa stressed au kupitia challenge flan ana kukimbilia ww. Tehe
In my early twenties nilikua muoga sana wa these fine chicks but one day it all changed..after learning how its done.
Ahahahaha, mgumu kumezaHaha, ni kweli asee muhimu kujiongeza na kuwapandia huko huko juu. Wanavyotoa vi suprise vya nguvu na vi trip vya hapa na pale out of town on weekends don't hurt at all mazee! 🙂
Na uzuri wa ukijiongeza ni kwa manufaa yako pia, a distinguished gentleman atokee, asitokee you good on your own.
But when you be cruising in that discovery!!, atatokea tu, tena kwa heshima na adabu cos atajua wewe sio wa spot spot. 😀
Ila hawatoi sasa, wanaleta mapenz ya kidicteta jaman uuuwi ni sheeda mtaaniHapo umesema kweli asee, gentleness, sincere affection, sweet convo. We ladies love that. 🙂
Ukimaliza upite na huku my utupe msaada tutaniHapo umesema kweli asee, gentleness, sincere affection, sweet convo. We ladies love that. 🙂
Ahahahaha, mgumu kumeza
Wabongo wanapenda kupull wenzao chini lazima either kama hatokunyonha basi lazima aku manipulate uchizike ujione duni kimwili au kiroho maana maendeleo yako hayawezi... don't settle hun dont! Believe me you!
Ila hawatoi sasa, wanaleta mapenz ya kidicteta jaman uuuwi ni sheeda mtaani
Ahahahaha, mgumu kumeza
Wabongo wanapenda kupull wenzao chini lazima either kama hatokunyonha basi lazima aku manipulate uchizike ujione duni kimwili au kiroho maana maendeleo yako hayawezi... don't settle hun dont! Believe me you!
Ila hawatoi sasa, wanaleta mapenz ya kidicteta jaman uuuwi ni sheeda mtaani
Senior Boss knows how to treat a lady.Hapo umesema kweli asee, gentleness, sincere affection, sweet convo. We ladies love that. 🙂



nikikuta bishost kavaa nyeuupe mara nyingi naingiaga uvinzaAiseee kumbe underwear zina mambo mengi. Ngoja nipange ratiba ya blue,pink etc na siku zake.
Aiseee kumbe underwear zina mambo mengi. Ngoja nipange ratiba ya blue,pink etc na siku zake.
NumbiAMEN SISTER AMENSi ndo hapo sasa, yaani ME wengine kukuona unapaa wanaona shida. Hii ni insecurity na fear ya kujiona duni mbele yako.
Labda awe amekuzidi kidogo, kama mko usawa fulani kielimu na kimali lazima watajishuku halafu waanze kana unavyosema, kuku manipulate ujione duni hata kama una ma degree kadhaa.
Tatizo na sisi tukipenda tunakuwa vipofu, hatuoni wala kusikia maumivu ali mradi kidume kinaonyesha kukupenda hata kama unakuwa unaonewa. Hatujui kumbe mtu unakufa kihoro polepole.
And you are right, settling for less is no deal.
PAGE NOT FOUND MAAMPenny girl haya unayosema hapa yamemtokea former spice gal Mel B.
Yaani bi dada kakaa kwenye ndoa huku nje tunaona mambo bien kumbe masikini ndani jehanum.
Nimeona huruma, wanawake sisi tuna shida sana kwa kweli. Hiki hapa kisa chake.
Mel B granted restraining order against ex after abuse claims
KWA MUDA TU!
AISEEnikikuta bishost kavaa nyeuupe mara nyingi naingiaga uvinza