Msaada wako: Dating life!

Msaada wako: Dating life!

Sawa.. Ila hako ka hint ka fake no hukuwapa.. Watu wengine ni ma psycho
We nawe marafkizangu wanajua namba yangu ya simu so hawakushangaa

Hapo nimepata tu hilo la kupangilia rangi ya chupi na siku!!!
Ahahahaha nimecheka mwenyewe ofisini kweli english noma

Read maana yake kusoma au ulimaanisha nnnn?
Ahahahahaha leo nimecheka watu na english vepee?!

Huyu jamaa kasema nikivaa ya pink nimfate pm,ndo nikampa jibu hilo


Mwingine kaniuliza kwani malaya sio mwanamke,ndio nikamjibu hivyo
Ok

One of the best ways kufanya dating life iwe rahisi, is when you date for fun at the very beginning with nothing serious in mind. Jaribu kwanza kufahamu mtu/watu vizuri, tengeneza marafiki, make connections, enjoy the process and then if something serious comes up, let it be. If not, you will end up with new friends with no strings attached.
Meona ee, watu wengine wagumu kuelewa, may be wana slow mind
Mtu kama wewe ushanielewa sana nilichotaka kuongea, thank you!

Ikifka zam ya read naomba nkutoe out
Ahahahaha RED ni ijumaaa na valentines day!
 
One of the best ways kufanya dating life iwe rahisi, is when you date for fun at the very beginning with nothing serious in mind. Jaribu kwanza kufahamu mtu/watu vizuri, tengeneza marafiki, make connections, enjoy the process and then if something serious comes up, let it be. If not, you will end up with new friends with no strings attached.
That's the best approach... ila inatakiwa kuweka your intentions clear.
 
Hey lo!
Good day!

Basi mwaka jana April, nipo na my friends tuna chill Kunduchi Beach Hotel, wakawa wanalalamika, we Money Penny unapataje hawa Side Men?!
Sie hata hatuwapati, it's tough outta there!

Money Penny: nikajaribu kuwasaidia wakasema njia zangu zote wametumi,
Church= wameshaenda sana na kuombewa
Nikawaambia basi tuingie front muone mimi navyofanya kazi, tukapiga kazi tukadondoka Hyatt Regency si unanijua me mambo yangu ya classy, hotel ndogo ndogo sikai!

The way i carried myself, nilivyovaa, makeup kidogo ya kutach, simple bure sure si unajua tena Mungu alinisusia Mwili basi nikaja nao duniani ninsheedah!

Akaja kaka miaka 35, akanisalimia nikamjibu vizuri tu, marafiki wapo wanaskiliza, akaniambia dada naomba namba yako, nikampa, asante dada nimekupenda naweza kukutoa out?!
Money Penny: poa hamna shida
Kaka: nikutoe siku gani
Money Penny: what is your favourite color?!
Kaka: Blue
Money Penny: nikaanza kukumbuka chupi ya blue navaa siku gani, nikajua alhamisi, nikamwambia tuonane alhamisi
Alipoondoka mashoga wakauliza mama we mchawi au alhamisi ndio nini, baada ya kuwaeleza walicheka sana hawajawahi kuwaza kitu kama changu, dah! We Money Penny upo so creative, nikasmile!

To make the story short; all my friends are dating now, like serious dating wanaelekea kwenye ndoa

So nambie mwana JF, how is your dating life?! Je wanaume au wanawake wamekuwa wagumu kwako kupatikana au kirahisi tu?!
Unatumia approach gani kupata demu/men?!
Comment maujanja yako hapo chini tu share
Asante
Hahahahhha wewee
 
Back
Top Bottom