Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
Tafteni hela wadogo zangu....love and brokedness are two uncompatible things. 

Ukitaka kuyafurahia maisha tafta hela kwa bidii alaf kuwa gentleman kwa watoto wazuri (usiwe na mkono mfupi na si lazima uwe na hela nyingi ka Mengi, Bill Gates etc.)
Ukiwa na hela hata kucheka unacheka kwa pause...u gotta learn to race in her mind and make sure u win.

I'm Out.