Msaada wako: Dating life!

Msaada wako: Dating life!

Hey lo!
Good day!

Basi mwaka jana April, nipo na my friends tuna chill Kunduchi Beach Hotel, wakawa wanalalamika, we Money Penny unapataje hawa Side Men?!
Sie hata hatuwapati, it's tough outta there!

Money Penny: nikajaribu kuwasaidia wakasema njia zangu zote wametumi,
Church= wameshaenda sana na kuombewa
Nikawaambia basi tuingie front muone mimi navyofanya kazi, tukapiga kazi tukadondoka Hyatt Regency si unanijua me mambo yangu ya classy, hotel ndogo ndogo sikai!

The way i carried myself, nilivyovaa, makeup kidogo ya kutach, simple bure sure si unajua tena Mungu alinisusia Mwili basi nikaja nao duniani ninsheedah!

Akaja kaka miaka 35, akanisalimia nikamjibu vizuri tu, marafiki wapo wanaskiliza, akaniambia dada naomba namba yako, nikampa, asante dada nimekupenda naweza kukutoa out?!
Money Penny: poa hamna shida
Kaka: nikutoe siku gani
Money Penny: what is your favourite color?!
Kaka: Blue
Money Penny: nikaanza kukumbuka chupi ya blue navaa siku gani, nikajua alhamisi, nikamwambia tuonane alhamisi
Alipoondoka mashoga wakauliza mama we mchawi au alhamisi ndio nini, baada ya kuwaeleza walicheka sana hawajawahi kuwaza kitu kama changu, dah! We Money Penny upo so creative, nikasmile!

To make the story short; all my friends are dating now, like serious dating wanaelekea kwenye ndoa

So nambie mwana JF, how is your dating life?! Je wanaume au wanawake wamekuwa wagumu kwako kupatikana au kirahisi tu?!
Unatumia approach gani kupata demu/men?!
Comment maujanja yako hapo chini tu share
Asante
Upo vzr utadumu
 
View attachment 490733
Aproach nayotumia ni kujitafutia makosa ya barabarani...try this one utaniambia!
Ahahahhaha nimecheka

Me sabuni tyu ni kitendo cha kwenda dukani na kununua kisha narudi gheto
Yeleuuuwi rafki angu unajiharibu utaishia kuea hanisi weeeee! Acha weeee!

Aiseee kumbe underwear zina mambo mengi. Ngoja nipange ratiba ya blue,pink etc na siku zake.
Ahahahahaha, sasa si uwe mwanamke basi we si mwanaume au?! Wanaume nyie zenu si 3 tu, black, kijivu na blue hehe! Sasa siku za wiki ni siku 7 itakuwaje labda hapo sa?! Hehehe

Sijawahi kutongoza.
Kiru! Ila unatongozwa sio?!

Mh. Huku sio kwangu
Kiru! Kwanini jamaa?!

Pink ukiiva uni pm
Hahahahaha, ngumu kumeza bro!
 
Hey lo!
Good day!

Basi mwaka jana April, nipo na my friends tuna chill Kunduchi Beach Hotel, wakawa wanalalamika, we Money Penny unapataje hawa Side Men?!
Sie hata hatuwapati, it's tough outta there!

Money Penny: nikajaribu kuwasaidia wakasema njia zangu zote wametumi,
Church= wameshaenda sana na kuombewa
Nikawaambia basi tuingie front muone mimi navyofanya kazi, tukapiga kazi tukadondoka Hyatt Regency si unanijua me mambo yangu ya classy, hotel ndogo ndogo sikai!

The way i carried myself, nilivyovaa, makeup kidogo ya kutach, simple bure sure si unajua tena Mungu alinisusia Mwili basi nikaja nao duniani ninsheedah!

Akaja kaka miaka 35, akanisalimia nikamjibu vizuri tu, marafiki wapo wanaskiliza, akaniambia dada naomba namba yako, nikampa, asante dada nimekupenda naweza kukutoa out?!
Money Penny: poa hamna shida
Kaka: nikutoe siku gani
Money Penny: what is your favourite color?!
Kaka: Blue
Money Penny: nikaanza kukumbuka chupi ya blue navaa siku gani, nikajua alhamisi, nikamwambia tuonane alhamisi
Alipoondoka mashoga wakauliza mama we mchawi au alhamisi ndio nini, baada ya kuwaeleza walicheka sana hawajawahi kuwaza kitu kama changu, dah! We Money Penny upo so creative, nikasmile!

To make the story short; all my friends are dating now, like serious dating wanaelekea kwenye ndoa

So nambie mwana JF, how is your dating life?! Je wanaume au wanawake wamekuwa wagumu kwako kupatikana au kirahisi tu?!
Unatumia approach gani kupata demu/men?!
Comment maujanja yako hapo chini tu share
Asante
So you give your no to any dude that vibes you?
 
Namba naweza kutoa lakini isiwe namba yangu kabisa kwani shida iko wapi?!

Plus i was teaching them girls techniques to conqure 'Em Men!
 
One of the best ways kufanya dating life iwe rahisi, is when you date for fun at the very beginning with nothing serious in mind. Jaribu kwanza kufahamu mtu/watu vizuri, tengeneza marafiki, make connections, enjoy the process and then if something serious comes up, let it be. If not, you will end up with new friends with no strings attached.
 
Back
Top Bottom