Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,617
- 17,057
Unajua wa Tz mnavisa sana jamani, ivi mnataka mimi nicheke au mnanitafuta ubaya na Muumba? Ujue sijamaliza kuzaa jaman mniache mniache.
Jana wamekuja ndugu home kunisabahi mama kijacho, sasa katika kuongea ongea wakaanza kunisifia wenyewe ka kweli, Ah we money penny chizi sana unaandikaga nini JamiiForum lakini?! Yani zamani tulikuwa hatujui kama ni wewe tukataman i kukuona ulipoandikaga ile post ya money penny ni nani lakini kufungua website yako toba kumbe ni wewe tulicheka, dah we dada wewe basi tu.
Andika kitabu basi, you are the next Daniel Steel in Tz, mtaani majeraha na demand kibao, utauza hasa demand za relationship and how to figure out men!
Ndugu1: Speaking of Men, me nina langu la rohoni hapa naomba bibie anisaidie, ukishindwa waandikie wajeda JF wanisaidie.
Si unajua issue yangu ile iliotokeaga Money Penny ya mahusiano yangu, nikaamua nikae single mpaka nipone right?!
Money Penny: ndio nakumbuka, ila umekuwa single for sooo long, 3 yrs mama?!you are practically a virgin
Ndugu 1: basi 3months ago nikakutana na mjeda mmoja, akanifukuzia wee usungura kibao, nikaamua nimskilize maana kaonyesha kuwa anaweza ku-level na mimi
Nikamsikiliza nikamkubalia ombi lake, tukaanza dating za hapa na pale, kila week, simu kila siku, outings za weekends, hotel kubwa kubwa, kanipeleka na kwake, kanionyesha anapofanya kazi, mubashara kabisa, kwakweli nimempima kwa mambo mengi yupo fresh tu, kasoro sehemu moja ndio naumwa kichwa!
Basi baada ya miezi 2 tukajikuta tunachukua mahusiano to the next level, siku moja tukaenda dinner tukamalizia show home kwake, chaaaa! Huwezi amini katika romance za hapa na pale, akafungua suruali toba nakuta ana dudu ndogo kama remote ya Dstv!
Nikachokaaa nikamwambia baba kavae basi condom chooni mimi najitengeneza tengeneza hapa kujiweka sexy na nini, akaingia chooni mimi nikakimbia.
Mpaka leo sijaonana nae tena, ananitafuta namwambia nimesafiri, mara naumwa, simu nazima... hapa nawaza na kujiangalia huu msambwanda huu na ile remote ya dstv dah naona tunachosha tu.. sijui nafanyaje Money Penny, afu jamaa ananitafuta balaa non stooop!
Money Penny: unampenda?!
Ndugu 1: hata sijui tena, nahisi mapenzi kwake yameyeyuka baada ya kuiona ile remote ya Dstv, maana ukimwona kijana kapanda lakini chini dah!
Haya wajeda wa JF embu nisaidieni hii kesi ya nyani, Remote ya Dstv vepee hapo? Amrudie au akimbiee?
NYUZI ZANGU ZINGINE
1. Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa wanaume wengi
2. "Nimekupa kila kitu, na bado umeniacha" Malalamiko ya madada wengi
3. Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae
4. Je, mapenzi ni mabaya?
5. Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?
6. Alichonifanya mume wangu baada kurudi toka safarini
7. What you see is what you get!
8. Kwa wanaume tu: Fikiria umempenda mrembo, halafu yeye anakuita kaka, unafanyaje?
9. Mpenzi wangu anajikojolea kitandani nifanyaje?
10. Happy Birthday Money Penny ~ March 8th Baby!
11. Nimepata mchumba kanisani kwenye Morning and Evening Glory, Novemba 2023 naolewa
12. Shule imemshinda anatafuta 'sponsor'!
13. ''I love you Baby, kissess mwaaah'' ndio maneno nakutana nayo kila asubuhi, wewe je?
14. Money Penny Mpenzi, naomba namba yako ya simu
15. Story: Money Penny ni nani lakini?!