Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa Utambuzi Picha ya Rais.........

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mwana Mpotevu, Apr 24, 2012.

 1. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Wana JF naomba misaidie. Huyu Mama aliye na mkuu wetu wa nchi kwenye Red Carpet ni nani na ana wadhifa gani?? msaada tafadhali

  Rais.jpg
   
 2. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kilichonivutia na kutaka kumjua ni hatua yake ya kuvaa sare na Rais
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 28,114
  Likes Received: 7,021
  Trophy Points: 280
  Mkuklu wetu bado ana nguvu, tena ni mzuri kwa sura na umbo, ila kizuri hakikosi kasoro, anawaza safari na kuchekacheka tu hata ambapo hapatakiwi kucheka.
   
 4. e

  edicom Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Huyo ni Catheline Magige mbunge wa viti maalum Arusha.
   
 5. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  aaaahahahaha hebu niambie mkuu kama unamjua huyo mdada hapo kati
   
 6. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Walikuwa wanaenda wapi
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,142
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 145
  Duh, wamemechisha? Wamependeza, ndilo pekee naloweza sema.
   
 8. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,346
  Likes Received: 208
  Trophy Points: 160
  Daaaa sio mchezo na kweli hapa lazima kutakuwa na maswali mengi, huyu dada ni dada gani avae sare nae?
   
 9. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  oh kumbe? imekuwaje wavae sare namna hii na mkuu wa nchi?
   
 10. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Papizo umeliona hilo? kizungumkuti hapa
   
 11. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,346
  Likes Received: 208
  Trophy Points: 160

  Hahahhaa sio mchezo ndio hivyo mkuu labda tujue inaweza saidia
   
 12. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  hapa wako malawi kwenye msiba/ mazishi ya Bingu
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 28,114
  Likes Received: 7,021
  Trophy Points: 280
  nguo hizo zimenunuliwa kwa dola na ni kwa kodi yetu
   
 14. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,507
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Mama Mwanaasha mbona haonekani?
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,788
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  uMESHAAMBIWA NI MBUNGE WA VITU' MAALUM
   
 16. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #16
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  yaani lilisoma harakaharaka kama mara tatu nikawa sikuelewi, inabidi nisome kwa kituo hadi nijue unamaanisha nini aaahahahaha
   
 17. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #17
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  yeye alienda Brazil, aliporudi akapokewa na kuambiwa apumzike wataenda wengie Malawi
   
 18. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,346
  Likes Received: 208
  Trophy Points: 160
  Nimeona sema naiangalia bado nashindwa kuielewa elewa tu, mkuu wa nchi yetu huyu sio mchezo, kweli kiongozi tunaye
   
 19. n

  nketi JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wamependeza km walivyokusudia.
   
 20. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #20
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Very short and very clear!
   
Loading...