Msaada wa Utambuzi Picha ya Rais.........

Kama wanaenda kwenye msiba au wako huko tayari, mbona Adamu Malima anashangilia??

Babu DC!!
 
Casanova!.....he's going to end with shames.....shames of innocent blood!
 
attachment.php

Another mama mdogo au mkipenda - another 4th, 5th, 6th ..., I mean xth First Lady. Someone sung, "Tunatesa kwa zamu"
 
Huyo ni Catheline Magige mbunge wa viti maalum Arusha.

Hapana. Huyu si Catherine Magige. Hii picha nimeiona kwenye Michuzi recently ni pale Hoteli ya Kilimanjaro alikuwa anakwenda kufungua mkutano wa wadau wa madini nafikiri. Huyo dada alikuwa mkaribishaji. Kwa nini wamevaa sare hiyo sijui. Lakini si Catherini Magige. Catherine ni mweupe zaidi.
 
Aise mambo ni mengi sana ya kujiuliza. Alafu kitu ambacho nimekigundua wabunge wa kuteuliwa wa CCM wengi ni vijana na wazuri mno. Sasa sijui kuna intention gani katika hilo ccm!

Ndiyo wanatayarishwa kuchukua majukumu.
 
Another mama mdogo au mkipenda - another 4th, 5th, 6th ..., I mean xth First Lady. Someone sung, "Tunatesa kwa zamu"

that woman is called Christina Lyamba......iwounder how protocol guys allowed that to happen ,the president wearing same colour with that mistress .....hata Kama here is nothin btw them at least watu wangeelewa Kama hiyo ingekuwa Sare rasmi ya kinamama au waandamizi kwenye shughuli husika...ukizingatia mke wa rais hakuwepo na pia aliruhudiwa kutembea pembeni ya rais kwe ye kapetii Kama bibi na bwana....basi hii inaacha maswali kwa timu nzima ya protocol ya rais...
 
ANGUKA..ARI,NGUVU NA KASI ZAIDI..kwani yeye Mungu hadi ajue matatizo yetu! Jk uko juu..wakwere 2poo!! Bora mie nliopo msoga nakula zangu mihogo..wera jk

braza,kwa ufupi,pitia jf-jokes/utani. . .Utafaa sana! . .BTW ndo mana upo shambani unakula mihogo ka myama! .Lack of maendeleo are brought by j.K through masela <watendaji wake waki *@nge">
 
Nadhani watu wamesahau; hii ilikuwa ni siku ille ya hotuba yake ya mwisho wa mwezi - nadhani ni wa Februari; aliitoka kwenye function hii na akaenda kuhutubia. Kwamba kwanini wamevaa sare ya kitambaa kimoja jibu ni jepesi.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom