DSN
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 2,837
- 1,674
Yule dada hakutakiwa kutokea kwenye ile picha ila tena ndio hivyo...
A picture speaks a thousands words!!!Kwa watu wazima tunapigia mstari na ndio maana kicheko kwa watu wawili wanaofahamu issue nzima na watatu dada yetu kwenye kicheko chake.Hawa watu wawili hawakupaswa kucheka cheka ovyo,wanacheka utafikilia dada anavyocheka!!!Kosa ni kuacha kupatikana kwa picha hii tena toka kwa mtu wake wa karibu michuzi,najua Michuzi hakujua kama picha itaongea yenyewe!!!
MMM umeshasema mbona jawabu ni jepesi sana ni kweli jawabu ni jepesi sana Corporate Social Responsibility inaanzia hapo!!! makosa yako kwa Protocol sio JK,walipaswa kujua kuwe na muonekano gani basi wangejaza jaza japo mwanaume mwingine aonekane nae kwenye dressing hiyo rangi hiyo yao wawili ikapotelea ndani kwa ndani wajanja wasinge hoji kiiivyo!!!Ila poa ndio uanaume ila ukizidi sssooooooo!!! Clinton ilikufa kwa kuwa alikuwa anachapa kazi,sasa huku inakua ngumu kwa kuwa mmmmmmmmmh !!!!!upande huo umezidi!!