Alivoumwa ukamrudisha kwao hiyo ndo sababu ya kukuona wewe si kitu,,Wakuu habari za asubuhi, kama kichwa kinavyojielezea kuna mwanamke niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa lakini baada ya muda tuliojiwekea kwamba tuharalishe mahusiano yetu mwenzangu anaonekana kama tayari ame loose interest na mimi na hataki tena niende kwako,
Story ya mahusiano yetu iko ivi
Mwaka 2018 /01 /01 mimi na uyu binti tulianza rasmi mahusiano yetu kila mmoja akiwa anampenda mwenzake kwa dhati sana ilituchukua miezi minne katika mahusiano yetu tukaamua tuanze kuishi pamoja kienyeji nikimaanishaa yeye kutoka kwao na kuja kwangu tukaanza maisha,
Maisha yetu yalikuwa ya furaha japo ups and downs hazikukosa zikiwa zabkutosha tu kama ilivyo ada ya mahusiano yoyote yale baada ya miezi 5 ya kuishi pamoja mwenzangu alipata tatizo la kuugua na tukakubaliana aende nyumbani akanywe dawa za asili maana dawa za hospitali zilidunda nilitafuta nauli akaenda om mi nikaendelea na mishe mishe za maisha uku nikiendelea nae japo kwa kusua sua kama mnavyojua japo mapenzi yangu kwake hayakuwahi kupungua lakini kama binadamu yeyote yule kupitiwa kupo hasa kukiwepo na umbali kati ya wenza wawili.
Muda umeenda sana na kwa sasa muda rasmi niliomuahidi kwamba ndo muda tunaotakowa kuhararisha mahusiano yetu
Kushughurikia taratibu za kimila kidini na mambo mengine ndo umewadia.
Lakini baada y kumgusia mwenzangu swala hili hajalipokea kama nilivyotarajia na pia ushirikiano wake kwangu umekuwa mdogo sana na kuna muda ananiambia ili swala lisubiri kwanza ama tusilifanye kabisa kifupi nimeshindqa kumuelewa na imekuwa kinyume na matarajio yangu mambo yapo mengi yaliyotokea apo katikati katika safari yetu kuanzia tulipoanza mahusiano mpaka leo na siwezi kuyaandika yote nikayamaliza .
Wakuu naomba msaada wa kimawazo mtu mtu uyu nimfanyeje nimwelezeje ama nitumie nini ili niwese kumrudisha kwangu maana kwa sasa inaonyesha mapenzi yake kwangu yamepungua na pia najua kuna mwana anaweza naye akawa member wa Jf na akasoma huu uzi labda ndo anatoka naye kwa sasa na ndo amemfanya abadiri malengo
Kifupi uyu ni mwanamke ninayempenda sana sana sana namuhitaji mnowala sihitaji kumpoteza maana mapenzi yangu kwake ni makubwa lakini kwa kwa sasa amekuwa ni mtu ananifungia mlango hanipi ushirikiano sometimes majibu yake ni ya kuniumiza mno.
Nakiri mimi ni binadamu nina mapungufu yangu kama alivyo yeye .
Mwisho naomba msaada kwa yeyote yule ambaye aliwahi kuipitia hali kama hii na akaishinda alifanyaje alitumia nini ama alimtumia nani namaanisha aliyepitia hali hii na akafanikiwa kumrjesha himayani mwenzi wake basi anipwe msaada kimawazo kiushauri ama msaada wowote anaoweza kuutoa kwangu ili mradi nifanikiwe kumrejesha uyu shemeji yenu na wifi yenu himayani tafadhali wakuu.
Hili jambo ni serious mno kwangu na kwa ustawi wa afya yangu japo najua kuna watakao nibeza kuniona boya kunisimanga yote ni sawa maana hii hali na machungu haya ninaye yapitia ni mimi
Bado naamini Jf ni sehemu salama na bado kuna waungwana wengi na wenye hekima na busara wengi ivyo naamini nitapata msaada wa kutataua changamoto yangu
Ankai ..nwasirisha!!
Nb pm yangu iko wazi ntashukuru kwa msaada na kejeli yoyote mtakayonipatia.
upo mkoa gani na aliugua ugonjwa gani?? tuanzie kwanza hapoWakuu habari za asubuhi, kama kichwa kinavyojielezea kuna mwanamke niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa lakini baada ya muda tuliojiwekea kwamba tuharalishe mahusiano yetu mwenzangu anaonekana kama tayari ame loose interest na mimi na hataki tena niende kwako,
Story ya mahusiano yetu iko ivi
Mwaka 2018 /01 /01 mimi na uyu binti tulianza rasmi mahusiano yetu kila mmoja akiwa anampenda mwenzake kwa dhati sana ilituchukua miezi minne katika mahusiano yetu tukaamua tuanze kuishi pamoja kienyeji nikimaanishaa yeye kutoka kwao na kuja kwangu tukaanza maisha,
Maisha yetu yalikuwa ya furaha japo ups and downs hazikukosa zikiwa zabkutosha tu kama ilivyo ada ya mahusiano yoyote yale baada ya miezi 5 ya kuishi pamoja mwenzangu alipata tatizo la kuugua na tukakubaliana aende nyumbani akanywe dawa za asili maana dawa za hospitali zilidunda nilitafuta nauli akaenda om mi nikaendelea na mishe mishe za maisha uku nikiendelea nae japo kwa kusua sua kama mnavyojua japo mapenzi yangu kwake hayakuwahi kupungua lakini kama binadamu yeyote yule kupitiwa kupo hasa kukiwepo na umbali kati ya wenza wawili.
Muda umeenda sana na kwa sasa muda rasmi niliomuahidi kwamba ndo muda tunaotakowa kuhararisha mahusiano yetu
Kushughurikia taratibu za kimila kidini na mambo mengine ndo umewadia.
Lakini baada y kumgusia mwenzangu swala hili hajalipokea kama nilivyotarajia na pia ushirikiano wake kwangu umekuwa mdogo sana na kuna muda ananiambia ili swala lisubiri kwanza ama tusilifanye kabisa kifupi nimeshindqa kumuelewa na imekuwa kinyume na matarajio yangu mambo yapo mengi yaliyotokea apo katikati katika safari yetu kuanzia tulipoanza mahusiano mpaka leo na siwezi kuyaandika yote nikayamaliza .
Wakuu naomba msaada wa kimawazo mtu mtu uyu nimfanyeje nimwelezeje ama nitumie nini ili niwese kumrudisha kwangu maana kwa sasa inaonyesha mapenzi yake kwangu yamepungua na pia najua kuna mwana anaweza naye akawa member wa Jf na akasoma huu uzi labda ndo anatoka naye kwa sasa na ndo amemfanya abadiri malengo
Kifupi uyu ni mwanamke ninayempenda sana sana sana namuhitaji mnowala sihitaji kumpoteza maana mapenzi yangu kwake ni makubwa lakini kwa kwa sasa amekuwa ni mtu ananifungia mlango hanipi ushirikiano sometimes majibu yake ni ya kuniumiza mno.
Nakiri mimi ni binadamu nina mapungufu yangu kama alivyo yeye .
Mwisho naomba msaada kwa yeyote yule ambaye aliwahi kuipitia hali kama hii na akaishinda alifanyaje alitumia nini ama alimtumia nani namaanisha aliyepitia hali hii na akafanikiwa kumrjesha himayani mwenzi wake basi anipwe msaada kimawazo kiushauri ama msaada wowote anaoweza kuutoa kwangu ili mradi nifanikiwe kumrejesha uyu shemeji yenu na wifi yenu himayani tafadhali wakuu.
Hili jambo ni serious mno kwangu na kwa ustawi wa afya yangu japo najua kuna watakao nibeza kuniona boya kunisimanga yote ni sawa maana hii hali na machungu haya ninaye yapitia ni mimi
Bado naamini Jf ni sehemu salama na bado kuna waungwana wengi na wenye hekima na busara wengi ivyo naamini nitapata msaada wa kutataua changamoto yangu
Ankai ..nwasirisha!!
Nb pm yangu iko wazi ntashukuru kwa msaada na kejeli yoyote mtakayonipatia.
Daaah mwamba wewe ni Dr ama aliugua ugonjwa wa kawaida sema dawa za hospital zilishindwa kuperform yuko mkoani hayuko dar nadhani nimeeleweka au kuna swali jingine mkuu karibu kwa ushauri chief!upo mkoa gani na aliugua ugonjwa gani?? tuanzie kwanza hapo
Haiko kama unavyofikiri na huo ugonjwa ilikuwa ni lazima arudi nyumbani kwanza coz dawa za hospital hazikuperform!Alivoumwa ukamrudisha kwao hiyo ndo sababu ya kukuona wewe si kitu,,
Kule kwao alitoa madhaifu yako , wakamshauri asikubali umuoe
Ndo ivo mkuu, asa we mtu ameenda hadi kapona we ulienda hata mara moja?Haiko kama unavyofikiri na huo ugonjwa ilikuwa ni lazima arudi nyumbani kwanza coz dawa za hospital hazikuperform!
Ok, no rose without thorn,,Nakuelewa vip kabisa chief bt any means that can be used here so to neutralize this situation!!
Ndugu yangu kwanza nikupe pole,, nna mengie ya kuandika ila nitaandika machache sanaaInaonekana kuna vitu unaweza nisaidia and unaweza kuwa msaada mkubwa kwangu!
Kaka vip unaweza unaweza kunisaidia private ama or whatsap maana PM haifanyi kazi yaani kuna wadau wengi wamenitumia sms lakini siwezi kuzifungua ingekuwa poa if unaweza kunitumia whatsapNdugu yangu kwanza nikupe pole,, nna mengie ya kuandika ila nitaandika machache sanaa
Nakuchek PMKaka vip unaweza unaweza kunisaidia private ama or whatsap maana PM haifanyi kazi yaani kuna wadau wengi wamenitumia sms lakini siwezi kuzifungua ingekuwa poa if unaweza kunitumia whatsap
Hapa si sehem salama sana kuweka namba,, fanya ku-restat ur phone,, then Pm itakaa sawa,, hapa nakushauri usiwe namba,,Pm yangu haifunguki chief please kama unaweza nichek whatsap no yangu nitaiweka apa wala haina shida broo wee usiweke ya kwako niambie niweke ya kwangu
Endelea kujicounsel tu, mwenzio analiwa tayari.Daaah kuna ugumu kidogi kwenye hili ndugu hili tuko mbali mbali niko dar yuko mkoa mambo ni mengi sema kila kitu kinapangwa na je ni vip kama labda Mungu alipanga tuipitie njia hii ndo tufike kwenye mahusiano yenye mafanikio maana najua ata whine haipikwei kwa siku moja inachukua process mpaka kuja kuwa tamu kama tunavyoiona leo!!
Ukiona mtu amelose interest ni bora umuache, kumlazimisha arudishe feelings unakosea...anaweza akakubali kwa kukuonea huruma mwisho wa siku ukaja kulia hapa. Kuwa makini kwenye kuoa..usioe mtu ambae unaona kabisa hataki.
Muhenga mie nimeshuhudia mengiupo deep mama.