Msaada wa ushauri mahusiano yangu yamevurugika

Msaada wa ushauri mahusiano yangu yamevurugika

Hapo pagumu mzee baba,,kifupi amesha pata jamaa mwingine.niliwahi kupitia situation kama hyo mwaka jana mwezi wa nane.
Mwanamke alibadilika kabisa, Katika harakati za kumuuliza aliniweka wazi kuwa amesha pata mtu mwingine hivo sina budi kuendelea na maisha yangu.. Na akadai kuwa she will cherish the moment we had together...
Nilibembeleza saana, nililia saana.. Lakini hakunielewa. Sito sahau ilikuwa tarehe 14/08/2018 sa nne usiku..
Siku zilienda, nkiwa naendelea kubembeleza akawa hapokei simu wala kujibu sms. Kifupi niliona dunia imenielemea, nilikuja hapa kuomba ushauri,nilipewa ushauri nikaweza ku move on bila yeye.
Ni mwanamke niliye dumu naye kwa miaka mitatu..
Ni story ndefu, ila ntashare na wewe pm ili ujifunze.
Mkuu kama hutojali no yangu ya whatsap hii apa 0621840335 maana Pm haifunguki nadhani Jf ndo wana matatizo so pls kama unaweza kunicheck whatsap nitafute mkuu
 
Mchumba hauguzwi

JUMP TO NEWUNWATCH
[IMG alt="Vitalis Msungwite"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/226/226009.jpg?1462707728[/IMG]
Vitalis Msungwite
Verified Member
[emoji736]

Joined May 11, 2014
rep.png
1,552
point.png
2,000
Kama tulivyokubaliana kwenye kikao chetu, kuwa ni maeufuku kumsomesha mchumba wako. Hili tulishalifunga na atakae tuletea malalamiko tutampiga kwenzi kuu, ndio tunampa ushauri.

Sambamba na hilo, niongezee kuwa ni marufuku kumuuguza mchumba wako. Hapa nazungumzia matatizo makubwa ynayoghalimu muda na Pesa za kutosha.

Baadhi ya magonjwa hayo ni, kisukari, kifafa, ugumba, miscarriage za Mara kwa Mara, moyo, figo na matatizo mengine sawa na hayo. Mwanamke ukimsaidia na kupona, dharau huwa kubwa sana na hata ndugu wanaweza kukuuliza, "unataka urudishiwe kiasi gani ili uachane nae".

Muuguze yule tu unayeishi nae kama hujamuoa achana nae.

*********** ushuhuda *********

Kuna jamaa anaitwa Steve, huyu bwana alikutana na demu mkali (Beth). Tatizo la huyo demu alikuwa na matatizo ya kukamaa mfano wa kifafa. Ndugu walihangaika wakachemka, wakakata tamaa.

Baada ya muda jamaa akajitosa. Akaanza kumhangaikia na demu akaenda kuponea kilolo ndani ndani huko. Jamaa ilimghalimu kama kilo 9 hivi, baada ya demu kupona ndugu wakampa ruhusa ya kuishi nae.

Mwaka mmoja mbele (mwaka huu), binti akawa hakamatiki. Madoni ya mji yaliyomdharau yakaanza kumfukuzia by hook and crook. Demu akaanza dharau, pia kutokana na jamaa kuunga unga tu life ikabidi asalimu amri.

Nilikaa nae muda mrefu na kumpa ushauri uliomsaidia sana. Maana jamaa alishaanza kupiga hesabu tu ya namna ya kuacha kuvuta oxygen. Lakini demu kuonesha kuwa hamtaki jamaa alikunywa mpaka sumu kuwaahinikiza ndugu zake wamtoe kwa jamaa.

Niishie tu hapo lakini, ole wake atakae muuguza mchumba!!!!!!!!!!.
Hahaha Aise
 
Ngoja nichukue hii no nije kukutongoza nikutapeli..unaekaje namba yko kwenye public?
Fanya ivyo mkuu unaweza kufanikiwa mzee baba alafu unitapeli kwanini mkuu?
 
Kwa akili hizi --- no wonder 'kwanini umeachwa. ....

Hizi ni akili za kitoto kabisa 'unaanzaje kuweka namba yako Jf
Kuna huelewi chief sema kwa vile umeamua kuponda kila kitu its okay wewe ni mkamilifu mimi si mkamilifu na ilo ni moja wapo kati ya mapungufu milion niliyonayo!!
 
Kwa akili hizi --- no wonder 'kwanini umeachwa. ....

Hizi ni akili za kitoto kabisa 'unaanzaje kuweka namba yako Jf
Alafu nisamehe kama nakukwaza uyu jamaa. Hujui nimeongea nae nini mpaka nikafikia hatua iyo nadhani ni ngumu kunielewa kwa sababu tayari umeset nigativity nyingi sana juu yangu
 
Nimefuatilia maongezi yenu. ..Jamaa alikueleza umfuate Pm muongee ''kuacha namba zako kwenye site kama hii --'wakati Kuna shuhuda mbali mbali zinaletwa humu --dhidi ya watu wanao tapeliwa na baadhi ya members toka humu. ..ni kujihatarishia hali ya usalama wako
Alafu nisamehe kama nakukwaza uyu jamaa. Hujui nimeongea nae nini mpaka nikafikia hatua iyo nadhani ni ngumu kunielewa kwa sababu tayari umeset nigativity nyingi sana juu yangu
 
Pole -
Kuna huelewi chief sema kwa vile umeamua kuponda kila kitu its okay wewe ni mkamilifu mimi si mkamilifu na ilo ni moja wapo kati ya mapungufu milion niliyonayo!!
 
Ndugu pole sana, unafanya shughuli gani?

Kama Una business zako jikite huko utumie muda mwingi kwenye biashara, ukiwa na biashara na mipango inaondoa mambo ya kufikiri mapenzi. Siku ya siku atakuambia naomba tuachane ndo utazidi kuumia.
Kama umejitandaa kisaikologia uwezi kuanza kumfikiria yeye. Hakuna mwanamke asiyependa kutolewa barua wala kuolewa ukiona hivyo ujuwe mtoto wa kike ana balance mizani.

Anza kutuma TIGOPESA, M PESA, AIRTEL MONEY kwa uwingi uangalie mwelekeo wake. Unaweza kurudisha upendo
Mkuu pesa hailejeshi mapenzi ata cku moja atapoteza pesa zake bure na mwanamke asimpate....
 
Kaa nae chini ongea nae kwa kina, atoe maamuzi kamili yaani kunyoa au kusuka tena kwa condition, mwambie mtazamo wake ni upi na ww mtazamo wako ni upi, mfanye awe huru kuchagua kile anacho ona kwake ni sahihi, uzuri hamja mfunga ndoa wala hamna ata watoto, usilazimishe mahusiano itakugarimu sana.
 
huyu Nyete Jamaa mmoja hivi rafiki yake Mshana Jr amesomea sana mambo ya psychology
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani watu wapo serious wewe unaleta maswala ya nyete[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pole brother...Let Her go
Mtu akitaka kuondoka msindikize aende
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani watu wapo serious wewe unaleta maswala ya nyete[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pole brother...Let Her go
Mtu akitaka kuondoka msindikize aende
Tudedicate ya passenger let her go
 
pole sana ndugu na siku zote ukiona upo katika mahusiano afu mwenzako akaanza kubadilika ghafla ujue hapo huna chako na mbaya zaidi yupo mbali na wewe.
hapo ujue kakutana na mtu aidha ambaye anampenda zaidi au aliempenda zaidi yako au anamtia zaidi yako

ushauri wangu jitahidi sana kukaza binti yeyote yule ambaye utakuwa naye katika mahusiano piga pum*u mpaka k**a inukie blader piga mpaka uning'inize miguu yako juu huku pampu ikiwa bado inapampu ndani kwa ndani.

kwani siku zote ukishajua kuwa huna hela basi inabidi ujitahidi sana kukaza ili hata akiwa mbali na wewe akikumbuka show zako anatokwa na machozi tu ya furaha. kwani mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom