Msaada wa ushauri mahusiano yangu yamevurugika

Msaada wa ushauri mahusiano yangu yamevurugika

Ha ha haaa....kijana ametoka shule amekuta mzigo ushaenda na wana, mda wotevm ulikuwa unawasiliana nae ukiwa skul anakuaminisha na kukuficha usije feli masomo leo ndo umekuta uhalisia ...hatari sana
 
Sio tuna kuvunja Moyo tunakueleza fact ---....Tatizo la baadhi ya watu mnao omba ushauri huwa mnajiandaa kusikia kile ambacho Moyo wenu unataka kukisikia ''....yaani huwa mnajiandaa na majibu yenu wenyewe kabla hata ya kuomba ushauri. ..

Inapotokea mkashauriwa kinyume na matakwa yenu (ambavyo ndio sahihi )Huwa hamkubaliani na ushauri husika --mbaya zaidi mnazidi kuchanga nyikiwa
Duuh mbona ushauri wote umu ndani ni wa kinivunja moyo jamani yaani hakuna ata mmoja anayeweza kunipa ushari wa kuyajenga mapenzi yangu na uyu binti ata wewe braza kweli huna option nyingine ninayoweza kui apply hadi nikalirejesha penzi langu!!
 
Hahaha
Ukiona maisha magumu achana nayo Fanya kitu kingine. Halafu bila shaka wee utakua msukuma au kutoka kanda ya ziwa manake nyie ndio mnakua washamba washamba sana kwenye mapenzi,mwanamke amelose interest kwako halafu bado unamnng'ang'ania wa nini,acha uboya tafuta demu mwingine mtembezee rungu maisha yaendelee utamsahau tu
 
nikwambie kitu binamu,,
umeishi naye kwa zaidi ya mwaka mmoja bila kumtia mimba,, umekosea sana
by the way usikate tamaa jaribu pia kuwashirikisha watu anaowaamini sana like wazazi / walezi au viongozi wa dini huenda akaelewa,,
lakini naamini angekuwa ananyonyesha sa izi kama ungezicheza karata zako vizuri na asingekuzingua katu maisha yake yote,,
kumbuka pia mapenzi hayalazimishwi kama amepata mwingine wa kumpenda zaidi yako binamu piga moyo konde jikaze kiume na uanze upya,,
 
Wakuu habari za asubuhi, kama kichwa kinavyojielezea kuna mwanamke niko naye kwenye mahusiano kwa muda wa miaka miwili sasa lakini baada ya muda tuliojiwekea kwamba tuharalishe mahusiano yetu mwenzangu anaonekana kama tayari ame loose interest na mimi na hataki tena niende kwako,
Story ya mahusiano yetu iko ivi
Mwaka 2018 /01 /01 mimi na uyu binti tulianza rasmi mahusiano yetu kila mmoja akiwa anampenda mwenzake kwa dhati sana ilituchukua miezi minne katika mahusiano yetu tukaamua tuanze kuishi pamoja kienyeji nikimaanishaa yeye kutoka kwao na kuja kwangu tukaanza maisha,
Maisha yetu yalikuwa ya furaha japo ups and downs hazikukosa zikiwa zabkutosha tu kama ilivyo ada ya mahusiano yoyote yale baada ya miezi 5 ya kuishi pamoja mwenzangu alipata tatizo la kuugua na tukakubaliana aende nyumbani akanywe dawa za asili maana dawa za hospitali zilidunda nilitafuta nauli akaenda om mi nikaendelea na mishe mishe za maisha uku nikiendelea nae japo kwa kusua sua kama mnavyojua japo mapenzi yangu kwake hayakuwahi kupungua lakini kama binadamu yeyote yule kupitiwa kupo hasa kukiwepo na umbali kati ya wenza wawili.
Muda umeenda sana na kwa sasa muda rasmi niliomuahidi kwamba ndo muda tunaotakowa kuhararisha mahusiano yetu
Kushughurikia taratibu za kimila kidini na mambo mengine ndo umewadia.
Lakini baada y kumgusia mwenzangu swala hili hajalipokea kama nilivyotarajia na pia ushirikiano wake kwangu umekuwa mdogo sana na kuna muda ananiambia ili swala lisubiri kwanza ama tusilifanye kabisa kifupi nimeshindqa kumuelewa na imekuwa kinyume na matarajio yangu mambo yapo mengi yaliyotokea apo katikati katika safari yetu kuanzia tulipoanza mahusiano mpaka leo na siwezi kuyaandika yote nikayamaliza .
Wakuu naomba msaada wa kimawazo mtu mtu uyu nimfanyeje nimwelezeje ama nitumie nini ili niwese kumrudisha kwangu maana kwa sasa inaonyesha mapenzi yake kwangu yamepungua na pia najua kuna mwana anaweza naye akawa member wa Jf na akasoma huu uzi labda ndo anatoka naye kwa sasa na ndo amemfanya abadiri malengo
Kifupi uyu ni mwanamke ninayempenda sana sana sana namuhitaji mnowala sihitaji kumpoteza maana mapenzi yangu kwake ni makubwa lakini kwa kwa sasa amekuwa ni mtu ananifungia mlango hanipi ushirikiano sometimes majibu yake ni ya kuniumiza mno.
Nakiri mimi ni binadamu nina mapungufu yangu kama alivyo yeye .
Mwisho naomba msaada kwa yeyote yule ambaye aliwahi kuipitia hali kama hii na akaishinda alifanyaje alitumia nini ama alimtumia nani namaanisha aliyepitia hali hii na akafanikiwa kumrjesha himayani mwenzi wake basi anipwe msaada kimawazo kiushauri ama msaada wowote anaoweza kuutoa kwangu ili mradi nifanikiwe kumrejesha uyu shemeji yenu na wifi yenu himayani tafadhali wakuu.
Hili jambo ni serious mno kwangu na kwa ustawi wa afya yangu japo najua kuna watakao nibeza kuniona boya kunisimanga yote ni sawa maana hii hali na machungu haya ninaye yapitia ni mimi
Bado naamini Jf ni sehemu salama na bado kuna waungwana wengi na wenye hekima na busara wengi ivyo naamini nitapata msaada wa kutataua changamoto yangu
Ankai ..nwasirisha!!
Nb pm yangu iko wazi ntashukuru kwa msaada na kejeli yoyote mtakayonipatia.
pole sana ndugu na siku zote ukiona upo katika mahusiano afu mwenzako akaanza kubadilika ghafla ujue hapo huna chako na mbaya zaidi yupo mbali na wewe.
hapo ujue kakutana na mtu aidha ambaye anampenda zaidi au aliempenda zaidi yako au anamtia zaidi yako

ushauri wangu jitahidi sana kukaza binti yeyote yule ambaye utakuwa naye katika mahusiano piga pum*u mpaka k**a inukie blader piga mpaka uning'inize miguu yako juu huku pampu ikiwa bado inapampu ndani kwa ndani.

kwani siku zote ukishajua kuwa huna hela basi inabidi ujitahidi sana kukaza ili hata akiwa mbali na wewe akikumbuka show zako anatokwa na machozi tu ya furaha. kwani mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe.
 
Duuh mbona ushauri wote umu ndani ni wa kinivunja moyo jamani yaani hakuna ata mmoja anayeweza kunipa ushari wa kuyajenga mapenzi yangu na uyu binti ata wewe braza kweli huna option nyingine ninayoweza kui apply hadi nikalirejesha penzi langu!!
Imebidi tu nicheke pole kiongozi, mapenzi yanauma sana .
 
Tatizo hayo mapungufu hujayaweka wazi kwa hata hao wanaotoa ushauri wanabahatisha tu kama maswali ya multiple choice.
 
Hapo pagumu mzee baba,,kifupi amesha pata jamaa mwingine.niliwahi kupitia situation kama hyo mwaka jana mwezi wa nane.
Mwanamke alibadilika kabisa, Katika harakati za kumuuliza aliniweka wazi kuwa amesha pata mtu mwingine hivo sina budi kuendelea na maisha yangu.. Na akadai kuwa she will cherish the moment we had together...
Nilibembeleza saana, nililia saana.. Lakini hakunielewa. Sito sahau ilikuwa tarehe 14/08/2018 sa nne usiku..
Siku zilienda, nkiwa naendelea kubembeleza akawa hapokei simu wala kujibu sms. Kifupi niliona dunia imenielemea, nilikuja hapa kuomba ushauri,nilipewa ushauri nikaweza ku move on bila yeye.
Ni mwanamke niliye dumu naye kwa miaka mitatu..
Ni story ndefu, ila ntashare na wewe pm ili ujifunze.
 
Daaah kuna ugumu kidogi kwenye hili ndugu hili tuko mbali mbali niko dar yuko mkoa mambo ni mengi sema kila kitu kinapangwa na je ni vip kama labda Mungu alipanga tuipitie njia hii ndo tufike kwenye mahusiano yenye mafanikio maana najua ata whine haipikwei kwa siku moja inachukua process mpaka kuja kuwa tamu kama tunavyoiona leo!!
Kwa maelezo haya inawezekana ulevi unachangia katika migogoro yenu.
 
Kaka ni bora ujifunze kumuacha tu kabla hajawa wazi kwako..bora uanze ww, unampenda sawa lkn hizo redflag anza taratibu punguza mawasiliano jitahid ata kutomtafuta kwa nusu siku then siku nzima

Inauma lakn jikaze huko mbeleni usije umia zaidi pale utakapohakikisha ana mtu
Mda ndo kila kitu utasahau
 
Mkuu mbona unaguna aisee ndugu yangu napitia hali ngumu sana sana ni ngumu sana kuielewa hii hali niipitiayo¡

Inavyoonekana kaka umependa kupita kiasi na mbaya zaid uyo mwanamke mwenyewe anajua Ila cha msingi jiulize kwanza kwann kabadilika?
 
Hapo pagumu mzee baba,,kifupi amesha pata jamaa mwingine.niliwahi kupitia situation kama hyo mwaka jana mwezi wa nane.
Mwanamke alibadilika kabisa, Katika harakati za kumuuliza aliniweka wazi kuwa amesha pata mtu mwingine hivo sina budi kuendelea na maisha yangu.. Na akadai kuwa she will cherish the moment we had together...
Nilibembeleza saana, nililia saana.. Lakini hakunielewa. Sito sahau ilikuwa tarehe 14/08/2018 sa nne usiku..
Siku zilienda, nkiwa naendelea kubembeleza akawa hapokei simu wala kujibu sms. Kifupi niliona dunia imenielemea, nilikuja hapa kuomba ushauri,nilipewa ushauri nikaweza ku move on bila yeye.
Ni mwanamke niliye dumu naye kwa miaka mitatu..
Ni story ndefu, ila ntashare na wewe pm ili ujifunze.
Bro uko sahihi je na mimi unaweza kunipa huo ushauri ambao ulikusaidia wewe asee maana ni isu kidogo kaka naamini kama umewahi kuipitia hali hii basi unaelewa hali ilivyo!!
 
Imebidi tu nicheke pole kiongozi, mapenzi yanauma sana .
Mkuu why umecheka asee hii hali ni mpaka uipitie mwenyewe physically ndo unaweza kunielewa hiki ninachokisema
 
Mchumba hauguzwi

JUMP TO NEWUNWATCH
[IMG alt="Vitalis Msungwite"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/226/226009.jpg?1462707728[/IMG]
Vitalis Msungwite
Verified Member

Joined May 11, 2014
rep.png
1,552
point.png
2,000
Kama tulivyokubaliana kwenye kikao chetu, kuwa ni maeufuku kumsomesha mchumba wako. Hili tulishalifunga na atakae tuletea malalamiko tutampiga kwenzi kuu, ndio tunampa ushauri.

Sambamba na hilo, niongezee kuwa ni marufuku kumuuguza mchumba wako. Hapa nazungumzia matatizo makubwa ynayoghalimu muda na Pesa za kutosha.

Baadhi ya magonjwa hayo ni, kisukari, kifafa, ugumba, miscarriage za Mara kwa Mara, moyo, figo na matatizo mengine sawa na hayo. Mwanamke ukimsaidia na kupona, dharau huwa kubwa sana na hata ndugu wanaweza kukuuliza, "unataka urudishiwe kiasi gani ili uachane nae".

Muuguze yule tu unayeishi nae kama hujamuoa achana nae.

*********** ushuhuda *********

Kuna jamaa anaitwa Steve, huyu bwana alikutana na demu mkali (Beth). Tatizo la huyo demu alikuwa na matatizo ya kukamaa mfano wa kifafa. Ndugu walihangaika wakachemka, wakakata tamaa.

Baada ya muda jamaa akajitosa. Akaanza kumhangaikia na demu akaenda kuponea kilolo ndani ndani huko. Jamaa ilimghalimu kama kilo 9 hivi, baada ya demu kupona ndugu wakampa ruhusa ya kuishi nae.

Mwaka mmoja mbele (mwaka huu), binti akawa hakamatiki. Madoni ya mji yaliyomdharau yakaanza kumfukuzia by hook and crook. Demu akaanza dharau, pia kutokana na jamaa kuunga unga tu life ikabidi asalimu amri.

Nilikaa nae muda mrefu na kumpa ushauri uliomsaidia sana. Maana jamaa alishaanza kupiga hesabu tu ya namna ya kuacha kuvuta oxygen. Lakini demu kuonesha kuwa hamtaki jamaa alikunywa mpaka sumu kuwaahinikiza ndugu zake wamtoe kwa jamaa.

Niishie tu hapo lakini, ole wake atakae muuguza mchumba!!!!!!!!!!.
 
Ndugu pole sana, unafanya shughuli gani?

Kama Una business zako jikite huko utumie muda mwingi kwenye biashara, ukiwa na biashara na mipango inaondoa mambo ya kufikiri mapenzi. Siku ya siku atakuambia naomba tuachane ndo utazidi kuumia.
Kama umejitandaa kisaikologia uwezi kuanza kumfikiria yeye. Hakuna mwanamke asiyependa kutolewa barua wala kuolewa ukiona hivyo ujuwe mtoto wa kike ana balance mizani.

Anza kutuma TIGOPESA, M PESA, AIRTEL MONEY kwa uwingi uangalie mwelekeo wake. Unaweza kurudisha upendo
Duuh sasa kaka izi airtell money na Tigo pesa zinaingiliana vip na mapenzi au mi ndo sijakuelewa sababu apa kuna tatizo je hii miamala inaweza kuwa suluhisho la hili tatizo!!
 
nna hasira kweli.....mtoto wa kiumeni unalalamika lalamika kisa demu amelose control.....sikiliza wanawake yao pesa....pesa dogo...pesa, pesa,,,ankara money....tuma pesa tuma pesa........jidai tuuu uko kwenye ( matayalisho),,,,lugha yenyewe utata.....wenzio wanafaidi huko....utaoa sura wenzio wataoa mke
 
Duuh sasa kaka izi airtell money na Tigo pesa zinaingiliana vip na mapenzi au mi ndo sijakuelewa sababu apa kuna tatizo je hii miamala inaweza kuwa suluhisho la hili tatizo!!
Inawezekana miez yote aliyokaa naye hajamnunulia nguo au kamnunulia nguo za mtumba, karudi kwao mtoto wa kike Kuna kijana kamletea zawad ya nguo kutoka dukan na katoa Ahadi ukiitaji kitu kingine nitakupa.
Msichana hapo lazima apime Which one the best
 
nna hasira kweli.....mtoto wa kiumeni unalalamika lalamika kisa demu amelose control.....sikiliza wanawake yao pesa....pesa dogo...pesa, pesa,,,ankara money....tuma pesa tuma pesa........jidai tuuu uko kwenye ( matayalisho),,,,lugha yenyewe utata.....wenzio wanafaidi huko....utaoa sura wenzio wataoa mke
daaah mwana umenchekesha mno aisee aya shukrani kwa mchango wako sema nini siri ya kaburi aijuaye maiti mzee baba!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom