Hapo pagumu mzee baba,,kifupi amesha pata jamaa mwingine.niliwahi kupitia situation kama hyo mwaka jana mwezi wa nane.
Mwanamke alibadilika kabisa, Katika harakati za kumuuliza aliniweka wazi kuwa amesha pata mtu mwingine hivo sina budi kuendelea na maisha yangu.. Na akadai kuwa she will cherish the moment we had together...
Nilibembeleza saana, nililia saana.. Lakini hakunielewa. Sito sahau ilikuwa tarehe 14/08/2018 sa nne usiku..
Siku zilienda, nkiwa naendelea kubembeleza akawa hapokei simu wala kujibu sms. Kifupi niliona dunia imenielemea, nilikuja hapa kuomba ushauri,nilipewa ushauri nikaweza ku move on bila yeye.
Ni mwanamke niliye dumu naye kwa miaka mitatu..
Ni story ndefu, ila ntashare na wewe pm ili ujifunze.