Msaada wa ushauri mahusiano yangu yamevurugika

Msaada wa ushauri mahusiano yangu yamevurugika

Tudedicate ya passenger let her go
Ndiyo
Kwanini ulazimishe sehemu usipopendwa!??
Wangapi nje wanatamani kupata nafasi angalau kidogo kuwa naye!??
Akiamua kuondoka unamuacha aende...baadaye anajidai kurudi wakati huo Mungu anakuwa alishakupa wakwako sahihi
 
Wanaume sikuhizi mnaongoza kulialia jamani khaaaa

Leo ukiamka utasikia "nimetendwa"
Kesho "nimeombwa hela"
Keshokutwa "maimuna kaondoka na sukari yangu"
Baada ya siku kadhaa "jamaa kabeba demu wangu"

Hamuishiwi mada wanaume wa sikuhizi mnakwama wapi?
 
nna hasira kweli.....mtoto wa kiumeni unalalamika lalamika kisa demu amelose control.....sikiliza wanawake yao pesa....pesa dogo...pesa, pesa,,,ankara money....tuma pesa tuma pesa........jidai tuuu uko kwenye ( matayalisho),,,,lugha yenyewe utata.....wenzio wanafaidi huko....utaoa sura wenzio wataoa mke
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Badirisha mawazo toka kwenye mahusiano... Ingiza kwenye ufuska.

Then mchukulie km bitch.. Uwa unajipozea kuongeza siku tu.... Ndomu muhimu.

Ila wanaume wa type yako nashndwa kuwaelewa mmekulia maisha gani utotoni.

Demu hakupend anakuletea usee na majibu ya kidwanz.. Alafu unakuja kuuliza jf eti nifanyaje jaman naombeni ushauri.

Acha ufala wewe, mwanamke haandiki taraka..... Piga down saka mwingine
 
Mdogo wangu mahusiano ya mbali sijui niyafananishe na nini...haiwezekani kibinadamu mtu kukutana na mazingira mapya bila kuwa na interaction na watu wengine! Namini hata wewe una mbadala unayemmezea mate kila akipita mbele yako na kutingisha minyama. Ushauri wangu ni kwamba tafuta pesa,jijenge kimaisha,mapenzi yalikuwepo tokea sodoma na gomora...kama alipangwa kuwa wako atakua na kama hakupangwa hata ukipewa ushauri page 200 hautabadili meaning!
Sina chakuongezea hapo ,niendelee kuokota makopo niwaishe kupima ,nadhani @; Edelyn wagu atamalizia.
 
Naendelea kuwashangaa wale wanaume wanaodhani kuwa siku hizi bado wanawake wote tuna shida sana na ndoa yaani hao ndo ninaoendelea kuwashangaa
 
Kurudisha interest ni rahisi sana,mfungulie biashara,nendeni mkatafute viwanja na mashamba.......halafu uje utupe mrejesho.Kupoteza interest inatokana na kutokuona future anapokuwa na wewe.
 
Kurudisha interest ni rahisi sana,mfungulie biashara,nendeni mkatafute viwanja na mashamba.......halafu uje utupe mrejesho.Kupoteza interest inatokana na kutokuona future anapokuwa na wewe.
Ushauri murua sana na wenye kumuincourage ata ni unrealistic
 
Ungefanya utafiti kwanza nini kimesababisha a lose interest na wewe. Je kuna jambo baya umemfanyia ama mugomvi yasiyoisha. Ukishajua hilo itakuwa rahisi kuchukua hatua, aidha umpe muda ama mkutane muongee na kulitatua
 
Nakuelewa na mimi ndo icho nilichokipanga yani ndo hatua ninayofikiria kuifanya sasa baada ya hatua nyingine zote kugonga mwamba
 
Ungefanya utafiti kwanza nini kimesababisha a lose interest na wewe. Je kuna jambo baya umemfanyia ama mugomvi yasiyoisha. Ukishajua hilo itakuwa rahisi kuchukua hatua, aidha umpe muda ama mkutane muongee na kulitatua
japo ninatakiwa kusafiri km nyingi sana kumfata alipo more 15000km kumfata alipo ili nikaongee naye face to face!!
 
Ungefanya utafiti kwanza nini kimesababisha a lose interest na wewe. Je kuna jambo baya umemfanyia ama mugomvi yasiyoisha. Ukishajua hilo itakuwa rahisi kuchukua hatua, aidha umpe muda ama mkutane muongee na kulitatua
Japo sina uhakika kama hii hatua itazaa matinda bt let me try my best vyovyote itakavyokuwa its okay vni lazima nikubaliane na any outcome!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom