Msaada wa ujenzi rahisi

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
2,026
3,104
Wasalaam wanaJF,
Naomba Msaada wa kitaalam utakaoniwezesha kupaua kibanda changu kilichopo Tanga kwa garama nafuu.....

Bati napendekeza ziwe za migongo myembamba lakini za rangi(red/blue), Mbao zipo, nahitaji gharama za fundi na namna ya kuzipata bati pendekezwa kwa unafuu. Kibanda kina vyumba vinne, jiko, sebleni na dinning. Nashukuru kama nitakuwa nimeeleweka...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom