Naomba msaada wa makadirio ya mbao za kenchi na bati

Kiranja wa jamii

JF-Expert Member
Jan 2, 2023
222
528
Nawasilimu wadau wote wa ujenzi na makazi,

Nimekuja kwenu kuomba msaa wa makadirio ya nyumba ina vyumba vinne (10*11 Vitatu, Master 13*14), sitting room, jiko na dinning pamoja na veranda mbili)

Niwe muwazi, ramani nilichukua mtandaoni hivyo sina vipimo sahihi

Aina ya paa nayoitamani ni hizi paa za kwenda juu

Najipanga kupaua, idadi ya mbao na idadi ya bati imekuwa mtihani kukadiria. Msaada tafadhali

Paa kama hii
Screenshot_20231126_223643_Instagram.jpg


Kwa mtazamo pia ukubwa wa nyumba unaendana endana na hii
 
Hongera mkuu.

Kwa makadirio mazuri tuwekee na vipimo.vya sebule,dinning,jiko na hivyo vibaraza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom