Nexltshahda
JF-Expert Member
- Jun 1, 2026
- 405
- 820
Hauko sereas,,, mpaka apatikane wa kumpush ndiyo utoe details zote? Utakwama pakubwa sana
Bila kusita naunga mkono hoja yako 😎.Wanaume kama wewe mngekuwa kumi tu.
Bei ya mafuta isingepanda 😝
Andika uzi upya na u include details husikaCheti kidato cha nne anacho,
Uthibitisho wa shule aliyosoma upo,
Uthibitisho wa shule aliyochaguliwa Arusha EGM upo,
WADAU NAOMBA TUMSAIDIE
MuoneBila kusita naunga mkono hoja yako 😎.
😂😂 Namaanisha.Muone
Haya tumsaidie huyu binti asome.😂😂 Namaanisha.
Ngoja nifanye mchakato hapa.Haya tumsaidie huyu binti asome.
Kuwa na shida sio sababu ya kuanikwa hapa? Kumsaidia mtu si mpaka uone matokeo yake hapa. Mfuate pm omba details utapewa sio kila mtu ni mwema humu!Andika uzi upya na u include details husika
I understand ila jinsi alivyo andika ni very simple sana mtu anaweza hisi tapeliKuwa na shida sio sababu ya kuanikwa hapa? Kumsaidia mtu si mpaka uone matokeo yake hapa. Mfuate pm omba details utapewa sio kila mtu ni mwema humu!
Huwezi ukatoa msaada bilaI understand ila jinsi alivyo andika ni very simple sana mtu anaweza hisi tapeli
Kuna namna ya uandishi unayo mfanya mtu atoe hata kama hakuwa na huo mpango, binafsi Nimetoa ushauri tu, na kila mtu anaona mambo kivyakeHuwezi ukatoa msaada bila
Kufatilia kwa kina utakuwa una shida we mtoaji!
Aolewe .Amehitimu form four mwaka jana kwa msaada wa mfadhili ambae kwa bahati mbaya alifariki akiwa katikati ya masomo, hivyo kafanikiwa kumaliza kidato cha nne kwa kuungaunga tu lakini alifanikiwa kupata division one na kachaguliwa kwenda kusoma kidato cha tano Arusha. Ana mama yake ambaye hana uwezo kabisa kuweza kumlipia gharama za masomo na hana ndugu mwenye uwezo. Nimeingiwa na huruma kutokana na uwezo alionao kimasomo na ndoto zake kuvunjika kabisa.
Mimi nilitamani kumchangia lakini nimeshindwa kutokana na mimi mwenyewe kusomesha ndugu na watoto hivyo nimeona mzigo sitauwezo. Hivyo kwa yeyote mwenye uwezo naomba amsaidie kwani shule zimeshafunguka, binti yupo Mbeya hata nauli tu ya kumfikisha Arusha ni shida
Aolewe.Anapaswa kuwa shule, tumchangie basi hata kwa kuanzia huko mbele itafahamika, fedha inayohitajika kwa sasa ni kama 320,000