- Thread starter
- #21
Poa,Kuna ndugu anasoma kule amenipa nwanga
Ndugu nitakufata inbox unipe mwanga maana ilikuwa ndoto yangu kusoma makerere
Ndugu nitakufata inbox unipe mwanga maana ilikuwa ndoto yangu kusoma makerere
Mkuu sina hakika sana kama itatosha ila hata kama haititosha utaongeza kidogo sana....pitia kwenye website ya chuo kila kitu kipo kwa maana ya ada......nje ya ada uweke hostel laki 8 ya Uganda kwa mwaka had milion moja which is almost laki 5 ya hapa kwetuMkuu nina 5m za kitanzania, je itatosha kusoma MA hapo makerere? Baada ya course work, research nakuja kufanyia Tanzanian? Inakubalika?
PhD ya nn unapiga hapo Mak?Mkuu nipo hapo napiga PhD nipo nimemaliza mwaka wa kwanza ,,taratibu ingia tu kwenye web ya chuo unafanya application na kuattach docs tu kama kawaida...karibu sana Mak mkuu...kwa lolote niulize tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp mademu Happ Uganda nitapata?Mkuu ukiwa Uganda kama upo home tu..hamna tofauti yyte..chakula tu mim ndio shida yangu, kibayaaaa lakin mambo mengne hamna shida! Huwa naenda na kurudi kwa bus, kama unaweza ni nzr hata kwenda kupata experience nyingn mkuu, hautajuta ukiwa mak
Sent using Jamii Forums mobile app