Natafuta chuo cha usimamizi wa mochwari (mortuary attendant)

Natafuta chuo cha usimamizi wa mochwari (mortuary attendant)

mfate42

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
4,061
Reaction score
4,848
Kwa mwenye uelewa wa chuo ambacho naweza kusomea maswala ya usimamizi wa mochwari (mortuary attendant) anisaidie mahali kilipo na taratibu za kufata Ili niweze kwenda kujiunga.

At least naweza nikapata furaha ya maisha yangu.
 
Kwa mwenye uelewa wa chuo ambacho naweza kusomea maswala ya usimamizi wa mochwari ( mortuary attendant )...anisaidie mahali kilipo na taratibu za kufata Ili niweze kwenda kujiunga...

At least naweza nikapata furaha ya maisha yangu....
Kuna tangazo hili hapa la zamani, lakini lina namba za simu, unaweza uliza, au ukaenda mwenyewe pale Muhimbili kuulizia

1694784586083.png

Tangazo lina ukweli kiasi gani sijui..!! Maana e-mail gmail na yahoo kwa taasisi kama Muhimbili nina mashaka nazo
 
Hii ni kozi ya mda mfupi miezi mi3 tu..Na inatolewa na vyuo vitatu tu nchini Muhas,Cuhas na Kcmc kwasasa.

Kikawaida uwa wanatangaza Short course hii ya Mortuary attendance kwa kila mwaka gharama zake ni kuanzia laki 4

Vigezo:
Cheti cha form four.
Akili timamu.
Usiwe na kesi yoyote mahakamani

Kila la heri
 
Nafikiri hii course inatolewa kwenye chuo flani (nimekisahau jina) ila ni huko Mbeya
 
Kuna tangazo hili hapa la zamani, lakini lina namba za simu, unaweza uliza, au ukaenda mwenyewe pale Muhimbili kuulizia

View attachment 2750131
Tangazo lina ukweli kiasi gani sijui..!! Maana e-mail gmail na yahoo kwa taasisi kama Muhimbili nina mashaka nazo
Hizo domain za Yahoo na Gmail kwa chuo cha MUHAS kuna ukakas.. atapigwa mtu humu.
 
Mortuary kunatisha sio mchezo....... kuna jamaa nilimuona ni mortuary attendant hospital fulani ye huwa anajidunga konyagi all time sjui ni kwa nini??
 
Mortuary kunatisha sio mchezo....... kuna jamaa nilimuona ni mortuary attendant hospital fulani ye huwa anajidunga konyagi all time sjui ni kwa nini??
Ushasema kunatisha, and yet unamshangaa huyo mwamba kujidunga konyagi all the time..!!
 
Just Imagine unapokeq miili ya watu wametoka kupata ajali.. wamevurugika vibaya mno.

Unatakiwa kuwafanyia Embalming process.. kuwasitiri vzr na kuwahifadhi.

Hii kazi hapana kwa kweli unaweza ukastaafu kula Nyama Milele.
 
Back
Top Bottom