Msaada wa Taarifa juu ya Chuo cha Makerere

Mshua's

JF-Expert Member
May 22, 2013
730
500
Mkuu nina 5m za kitanzania, je itatosha kusoma MA hapo makerere? Baada ya course work, research nakuja kufanyia Tanzanian? Inakubalika?
 

LITA2019

JF-Expert Member
Dec 18, 2019
389
1,000
Mkuu nina 5m za kitanzania, je itatosha kusoma MA hapo makerere? Baada ya course work, research nakuja kufanyia Tanzanian? Inakubalika?
Mkuu sina hakika sana kama itatosha ila hata kama haititosha utaongeza kidogo sana....pitia kwenye website ya chuo kila kitu kipo kwa maana ya ada......nje ya ada uweke hostel laki 8 ya Uganda kwa mwaka had milion moja which is almost laki 5 ya hapa kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom