Chuo cha Maji Ubungo (Water Institute-WI)

Nagolo

Member
Aug 29, 2023
6
5
Wakuu, nmechaguliwa kozi ya Bachelor Degree in Community Development for water supply and sanitation katika chuo tajwa hapo juu.

Hivyo naomba kama kuna mtu amewahi kuisoma kozi hiyo anisaidie hata msaada wa mawazo ni jinsi gani ntaweza kuisoma vizuri bila shida, na pia mzangira ya chuo kiujumla yako vipi.

Pia suala la malazi, je hostel zinapatikana chuoni au ni kupanga chumba mtaani karibu na chuo?

Wakuu, karibuni kwa mawazo chanya kuhusu kozi hiyo
 
Wakuu,nmechaguliwa kozi ya Bachelor Degree in Community Development for water supply and sanitation katika chuo tajwa hapo juu.
Hivyo naomba kama kuna mtu amewahi kuisoma kozi hiyo anisaidie hata msaada wa mawazo ni jinsi gani ntaweza kuisoma vizuri bila shida,na pia mzangira ya chuo kiujumla yako vipi.
Pia suala la malazi,je hostel zinapatikana chuoni au ni kupanga chumba mtaani karibu na chuo?

Wakuu,karibuni kwa mawazo chanya kuhusu kozi hiyo

KWA KIFUPI TU,
UKISOMA UBUNGO_MAJI, KWA KIASI FULANI UNAJISIKIA KUWA UKO MJINI,
KWA SABABU NI HATUA CHACHE SANA KUFIKA KICHUGUUNI!!!
 
Nenda kasome
chuo maji ipo sokoni sana kwa miaka ya hivi kalibuni
NB;umesoma combination gani ama kama ni diploma ulichukua fani gani
Ukinijibu nitakwambia kitu
 
Back
Top Bottom