Msaada wa sheria wadau tafadhari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa sheria wadau tafadhari

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by mukama talemwa, Jan 16, 2012.

 1. m

  mukama talemwa Senior Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kuna rafiki yangu amefanya kazi kenye shirika miaka 28,mwajiri akaamua kumfukuza kazi,kitendo ambacho jamaa yangu hakuridhika nacho. Akaenda CMA ambao wametoa hukumu yao kwamba arudishwe kazini.Mwajiri akaamua kumuandikia kuwa asubiri atafute taratibu nyingine.Sasa imepita zaidi ya mwezi sasa jamaa haelewi afanyeje?Anaomba kujua taratibu gani sasa afuate ili apate haki yake.
   
 2. k

  kimwerih New Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  suala lamfanyakazi kurejeshwa kazini kwa mujibu washeria ni kutekeleza amri ya CMA. hivyo anapaswa kuwasiliana na mwajiri wake juu ya utekelezwaji wa maamuzi halafu arudi CMA kuwafahamisha kutotekekezwa kwa amri na wao watachukua hatua. chiefkimweri
   
Loading...