Msaada wa ndoto hiii inajirudia jirudia

Msaada wa ndoto hiii inajirudia jirudia

Mmmh bas mwsho wa dunia unakaribia
aaaaaaah ndugu ila inawezekana maaanake kuna vision flan ilikuwa iko hivi ghafla watu wakawa wanapaa na mie nataka kupaaa ila nashindwa kupaaaa wengine wamepaa kwenda juuu
 
Kama unatazama movies inategemeana ni movies za aina gani,lakini pia waweza kuwa unajua nini unafanya kutwa nzima kinachofanya uhisi kukosa ufalme wa Mungu. Tofauti na hayo niliyokuambia,basi ni suala la maandiko,kama wewe unasoma vitabu vya dini hasa Biblia umepata neema ya kufunuliwa kujua mwisho wa dunia utakavyokuwa wa kutisha
kweli ndugu yangu ngoja niingie dipp na bible kwanza nijue why
 
Kama ni kweli umeiota iandike halafu kabla hujalala umwombe Mungu akufunulie nini maana ya hiyo ndoto amini kama ni ndoto ya kweli utapewa maana watu tunashindwa kuelewa kama wewe ni mtu uliye na hofu ya Mungu na haufanyi yanayomchukiza hupenda sana kuongea na watu wake wakati ukiwa umelala na ndio maana manabii wa zamani walikuwa wakiota ndoto na kuziandika na kuzifanyia kazi soma Biblia utaelewa namaanisha nini.
unajuuuu ndugu mie ni vuguvugu siko deep kiimani kwa kuwa imani bila matendo kazibure
 
Yaaan nimeota ndoto anga zima limebadilika na viumbe wengi wanakimbia huko na huko inatisha zaidi ya horror movies.

Sasa hiii ndoto huwa inajirudia sana ila kwa mtindo tofauti mfano unakuta kuwa naota kuna vita anga zima limetekwa na ndege na kuna tisha sanaaaaa .....

Why this? Je ni ndoto au msongo wa mawazo na je nitumie dawa gani ili isije rudiaaa?

Punguza kula ugali Kabla ya kulala itakupunguzia majinamizi
 
yaaan inakuwa kama siku ya mwisho vile inakuwa inatisha sana na ndoto hiii inajirudia sana sometimes inatokea sauti talking to me inside not like human siunajua mind that the end is near ....so all vision nayoiona you cant bear kwa akil ya kibinadam
Kama c mpenz wa move zakutisha basi kunatatizo mahali.Kwanz binadam anaishi katk ulimwengu mbil kwa wakat mmoja.Pili ndoto kujirudia tena zaid y mara 2 inamaana nafsi yko iko sehmu c nzuri ivyo unatakiw kuchukua hatua mapem
 
vema mkuuuu unajua what am going through i know my self ningekuwa natumia madawa ningesema madawa ila napata vision kubwa sana ...za kutisha asilimia kubwa kuhusu end times ila mimi bado naona inawezekana ni ndoto or what goes wrong cpend kuona vituuuu hv
Ndot zinamaan kubwa xn usipuuze
 
rea

real.......ndugu sometimes huwaa na jiogopa mwenyewe kuna wakati nachofikiria wakati huo kinakuwa kweli yaaaan kinakuwa kweli katika material world ...xaxa kweli unachoongea ni good idea lakin lazima ujue faia na hasara zake
hii "xaxa" nayo ni ndoto??
 
Back
Top Bottom