ndugu elezea how inakuwajeee tushirikishane .....kupambana eeeeehhHiyo ni vita katika ulimwengu wa roho, jaribu kuwa mtu wa maombi kabla ya kulala.
Maana hao ndege yawezekana usiku huwa unachukuliwa katika ulimwengu mwingine kwenda kupambana
Usiku ni wakati ambao nguvu za giza huwa zinafanya kazi kwa kiwango kikubwa sana ndio maana zikaitwa nguvu za giza.ndugu elezea how inakuwajeee tushirikishane .....kupambana eeeeehh
am waitingUsiku ni wakati ambao nguvu za giza huwa zinafanya kazi kwa kiwango kikubwa sana ndio maana zikaitwa nguvu za giza.
Sasa pale ambapo ndoto ya vita huwa inajirudia ina maana kuwa upo katika vita bila ya wewe kujua hao ndege ambao wanatanda katika anga huwenda wametanda katika anga lake la mafanikio na kushikilia baraka zake.
Ila sina muda mzuri lakn nitarudi kutoa maelezo mafupi kuhusu vita katika ndoto
movie huwa naangalia ila sio mara kwa mara
Yaaan nimeota ndoto anga zima limebadilika na viumbe wengi wanakimbia huko na huko inatisha zaidi ya horror movies.
Sasa hiii ndoto huwa inajirudia sana ila kwa mtindo tofauti mfano unakuta kuwa naota kuna vita anga zima limetekwa na ndege na kuna tisha sanaaaaa .....
Why this? Je ni ndoto au msongo wa mawazo na je nitumie dawa gani ili isije rudiaaa?
Epuka Kula vyakula vizito usiku mfano ugali maana digestion ya vyakula hvo huwa ngumu na kuchangia kutoa ndogo za ajabu ajabu.Yaaan nimeota ndoto anga zima limebadilika na viumbe wengi wanakimbia huko na huko inatisha zaidi ya horror movies.
Sasa hiii ndoto huwa inajirudia sana ila kwa mtindo tofauti mfano unakuta kuwa naota kuna vita anga zima limetekwa na ndege na kuna tisha sanaaaaa .....
Why this? Je ni ndoto au msongo wa mawazo na je nitumie dawa gani ili isije rudiaaa?
Kama ni kweli umeiota iandike halafu kabla hujalala umwombe Mungu akufunulie nini maana ya hiyo ndoto amini kama ni ndoto ya kweli utapewa maana watu tunashindwa kuelewa kama wewe ni mtu uliye na hofu ya Mungu na haufanyi yanayomchukiza hupenda sana kuongea na watu wake wakati ukiwa umelala na ndio maana manabii wa zamani walikuwa wakiota ndoto na kuziandika na kuzifanyia kazi soma Biblia utaelewa namaanisha nini.Yaaan nimeota ndoto anga zima limebadilika na viumbe wengi wanakimbia huko na huko inatisha zaidi ya horror movies.
Sasa hiii ndoto huwa inajirudia sana ila kwa mtindo tofauti mfano unakuta kuwa naota kuna vita anga zima limetekwa na ndege na kuna tisha sanaaaaa .....
Why this? Je ni ndoto au msongo wa mawazo na je nitumie dawa gani ili isije rudiaaa?
Kama unatazama movies inategemeana ni movies za aina gani,lakini pia waweza kuwa unajua nini unafanya kutwa nzima kinachofanya uhisi kukosa ufalme wa Mungu. Tofauti na hayo niliyokuambia,basi ni suala la maandiko,kama wewe unasoma vitabu vya dini hasa Biblia umepata neema ya kufunuliwa kujua mwisho wa dunia utakavyokuwa wa kutishaYaaan nimeota ndoto anga zima limebadilika na viumbe wengi wanakimbia huko na huko inatisha zaidi ya horror movies.
Sasa hiii ndoto huwa inajirudia sana ila kwa mtindo tofauti mfano unakuta kuwa naota kuna vita anga zima limetekwa na ndege na kuna tisha sanaaaaa .....
Why this? Je ni ndoto au msongo wa mawazo na je nitumie dawa gani ili isije rudiaaa?
Mmmh bas mwsho wa dunia unakaribiaYaaan nimeota ndoto anga zima limebadilika na viumbe wengi wanakimbia huko na huko inatisha zaidi ya horror movies.
Sasa hiii ndoto huwa inajirudia sana ila kwa mtindo tofauti mfano unakuta kuwa naota kuna vita anga zima limetekwa na ndege na kuna tisha sanaaaaa .....
Why this? Je ni ndoto au msongo wa mawazo na je nitumie dawa gani ili isije rudiaaa?
Ila sasa ucje jiita nabii manake pipo hamchelewrea
real.......ndugu sometimes huwaa na jiogopa mwenyewe kuna wakati nachofikiria wakati huo kinakuwa kweli yaaaan kinakuwa kweli katika material world ...xaxa kweli unachoongea ni good idea lakin lazima ujue faia na hasara zake