Naomba ufafanuzi zaidi bado sijakupata vizuriFuata huo mstari. Ila usile kwqnza kama unataka kufanya wewe iyo kazi uwe na njaa.
Ni uchafu upi ninaoweza kuuvunja?kubali gharama vunja huo uchafu kanunue mifuniko kwenye duka la vifaa vya ujenzi
💯. Ni akili ndogo tu inahitajika apo nashangaa nini kinamshindaSi unachukua kipande cha nondo unaingiza hapo katikati, unanyanyua
💯Pitisha bomba katikati ya hiyo handle kisha nyanyua upande mmoja huku upande wa pili ukiwa umekita chini
Weka mtarimbo katikati kisha muwe wawili mvute juuWanajf ninaomba mnisaidie kwa anayejua,namna ya kufungua mfuniko huu wa chemba inayotoka chooni!Choo kimejaa maji nataka nizibue.
View attachment 3440190View attachment 3440192
Mwagia Coca-Cola kisha vutaWanajf ninaomba mnisaidie kwa anayejua,namna ya kufungua mfuniko huu wa chemba inayotoka chooni!Choo kimejaa maji nataka nizibue.
View attachment 3440190View attachment 3440192
Mleta uzi anataka kuzibua chemba!Wanajf ninaomba mnisaidie kwa anayejua,namna ya kufungua mfuniko huu wa chemba inayotoka chooni!Choo kimejaa maji nataka nizibue.
View attachment 3440190View attachment 3440192