Msaada wa microwave nzuri na ya kudumu for home use

LIFE HELP

Senior Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
149
Reaction score
71
Salama ? tunaomba kufahamu MICROWAVE Iliyo bora kwa wale walio na uzoefu wa muda mrefu tafadhali, , , tulikuwa tunatumia moja aina ya SUMSANG imetusumbua sana kwa muda mfupi hata haikumaliza mwaka pamoja kuwa na guarantee ya mwaka mmoja ilishindikana,,,,, sokoni naona zipo LG, ELEKTRO, WESTPOINT, SHARP n.k.
 
mm nina mwaka wa 3 nina samsung haijawahi kunipa tabu mkuu inawezekana matumizi yako hayakuwa mazuri au kwa bahati mbaya manufacture waliokosea vitu flani kwenye hiyo microwave yako. jaribu tena samsung
 
Shukran matumizi sidhani ilipotokea mara ya kwanza tuliwalaumu wafanyakazi lakini baadae katika kurudisha for repair tulikuta na zingine km tatu shida hy hy labda model tofauti kwani yako ni model gani ? yetu ni GE83Z
 
mm nina mwaka wa 3 nina samsung haijawahi kunipa tabu mkuu inawezekana matumizi yako hayakuwa mazuri au kwa bahati mbaya manufacture waliokosea vitu flani kwenye hiyo microwave yako. jaribu tena samsung

Ya kwake ni Sumsang....
 
Sumsang ni kitu kingine na Samsung ni kitu kingine so mleta mada utaelewa kwanini yako haikuwa long life?
Daima panyasonic haiwezi lingana na Panasonic
 
mm nina mwaka wa 3 nina samsung haijawahi kunipa tabu mkuu inawezekana matumizi yako hayakuwa mazuri au kwa bahati mbaya manufacture waliokosea vitu flani kwenye hiyo microwave yako. jaribu tena samsung
Nafikiri hakuwa makini wakati wa kununua badala ya Samsung akanunua Sumsang
 
Hvi kenwood wana microwave??fanya utafiti if yes nunua mi nina jug, rice cooker and blender mwaka wa 5 sasa zko poa sanaaa
 
Back
Top Bottom