Msaada wa mawazo wanaume wenzangu..

Msaada wa mawazo wanaume wenzangu..

Mwezi hautoshi,angalau miezi mitatu!

Suluhisho kubwa ni kuweka saikolojia yako vizuri tu..hauna tatizo,

Acha kufikilia sana pesa,sababu kama umeshaoa inamaana kwasasa inabidi ufikirie familia zaidi kuliko pesa,maswala ya pesa tuachie sisi ambao hatujaoa.

Pendelea sana kula sea foods,nuts na mboga za majani.

Mazoezi fanya sana squashi na kuruka kamba.
Hapana bado sijaoa mkuu ni girlfiend tu ila pia nataka awe mke Mungu akijaalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwenye vyakula wanashauri ule ambavyo havijakobolewa au kukaangwa sanaa ugali Dona, mihogo, viazi, maharage mabichi, mbog za majani kwa wingi zichemshwe kidogo, matunda
ila hapo kwa mdada usimtese tafuta plan B yakukeep mindset yake busy asije tafuta mchempuko mtoe out nyingi ila kwenye public place uvumilivu usije ukawashinda
Asante sana mkuu kwa ushauri.. Ntafanyia kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kweli unahitaji msaada hebu kwanza toa historia yako.

1. Chanzo cha tatizo lako hasa unahisi ni nini? Kisukari, pressure, mlo mbaya au punyeto.

2.huwa unaenda round ngapi? Na kila round inachukua Muda gani? Na ungependa uwe unaenda round ngapi na kwa muda gani?

Jibu hayo juu ili tuone tunakusaidiaje mwanaume mwenzetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Well ngoja niseme ukweli hapa.... Kuna baadhi ya mambo yalinitokea kuanzia miaka kama 5 iliyopita kama si 7 nikawa mtu mwenye stress mno za maisha.. Ikawa sina mpenzi kwa mda mrefu so nikawa najifariji kwa pull ila pia nilikuwa mtu mwenye mawazo mno kwa kama miaka miwili straight na afya yangu haikuwa nzuri..

So i think this can be the reason..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kweli unahitaji msaada hebu kwanza toa historia yako.

1. Chanzo cha tatizo lako hasa unahisi ni nini? Kisukari, pressure, mlo mbaya au punyeto.

2.huwa unaenda round ngapi? Na kila round inachukua Muda gani? Na ungependa uwe unaenda round ngapi na kwa muda gani?

Jibu hayo juu ili tuone tunakusaidiaje mwanaume mwenzetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mda mfupi mno kuupima kwa kweli..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe huna tatizo
Cha msingi badili mtindo wa maisha, pia punguza mawazo maana nayo yanachangia kwa kiasi kikubwa sana
 
Hahaha. Wanaume idea hiyo ikitikisika kidogo mnakuwaga wapoleeeehata uambiwe mkojo wa punda dawa utakunywa kama mma.
Mrembo upo? Yaan bora huyu kasema ukweli wake...wanaume wengi ni wachovu wa kutupwa kitandani lakini hawataki kukiri hilo.
 
Back
Top Bottom