Msaada wa mawazo wanaume wenzangu..

Msaada wa mawazo wanaume wenzangu..

Kuna mazoezi fulani ya kuuzooesha mshipa fulani hivi, wataalamu hawajauzungumzia, nawakumbusha waje wakuelekeze, hili lipo kisayansi zaidi. Ila tiba kubwa ni kuikotroo tu mindset yako, utafanikiwa hadi itafikia wakati utakuwa unatafuta kupliz haraka uwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umekuwa muwazi sana ngoja tukusaidie.
Kwanza ufahamu love making is an art and not sijui kufanya Gym au sijui kula karanga pweza nk.
Sasa basi kwa kifupi fanya hivii:
1. Zingatia good foreplay -hapa cheza vya kutosha na mpenzio,Anza kwa kumfanyia massage nyepesi kisha mpapase kila mahali, nyonya chu.chu kissing, nenda mpaka kwenye ikulu kama waweza pitisha huko ulimi msuck taratibu mpaka usikie analia kama nyau...(mind you hii ufanye kwa mtu unayejua health status yake)
2. Cheza na vidole vyako touch clitoris sugua taratibu nenda kwa g-spot ipress kwa pressure kidogo ya vidole vyako (ukiweza press g-spot while unamsuck kwa ulimi kwenye V)
3. Wakati ukiwa unafanya hayo 2 hapo juu utapata faida 2, kwanza utamfikisha orgasm yeye mpenzio na wewe pia utaweza kutulia na mihemko ya kukamua kupungua hii itakusaidia usipige bao La haraka.
4. Sasa kwenye technic ya kutopiga bao haraka kuko hivii
1.epuka kupump haraka haraka kama mzunguko wa feni mbovu
2. Ukiwa ndo unakula tende zako jaribu kumsemesha hapa na pale ukimsifia na kummkumbusha asikilizie utamu wa muhogo wako. muulize anapenda uingizeje au umfinye kifinyo gani....kwa kifupi try to keep some maongezi
3. Bana pumzi...hii itasaidia kuslow down mapigo ya moyo ambayo in return itakupunguzia msisimko
4.jaribu kuwaza mambo ambayo yanakutatiza ili ikusaidie kuondoa wendawazimu wa utamu unaoupata
5.jiamini wewe ndo dume La mbegu na hakuna kama wewe kwake...hii itakupunguzia mchecheto...
6. Usiwe na haraka ya kuwaza/kumuuliza eti unakaribia kukojoa nk....wewe kazi yako ni moja...kusakata ball...cheza na mpira mambo ya kuwaza mnoo hali ya uwanja kutokutoa kwenye reli...
Kwa sasa niishie hapo kwanza...
 
Hii inakuwaje mkuu naomba unieleze

Mkuu i copy this.. Ntayafanyia kazi hichi ulichoniambia.. Nashukuru Sána aisee.. Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wenzangu nahitaji msaada, ni muda sasa nahisi kama performance yangu kwa bed kwa kweli sio nzuri.

Haswa ikizingatiwa mimi bado kijana halafu kwa shot nnazopiga naona kabisa hata mzee wa miaka mingi anaweza kunizidi (hazina quality) Kitu ambacho nahisi simtendei haki kijana mwenzangu.

Sana sana nna tatizo la pumzi halafu nawahi sana...

Nimeamua nianze huu mwezi kujitafakari na nimemweleza kimwana wangu anipe mda kama miezi miwili hivi nione kama naweza weka mambo sawa.

Kwa hali ilivo na namna huyu mwanamke alivo mrembo naona kuna risk huko mbele ya kuja kugongewa ndo maana nimedhamiria kuchukua haraka na za dharura.

Ila sasa ningependa ushauri kutoka kwenu maana kwanza nataka binafsi nibadili system ya maisha
1) Kwenye misosi (diet).. Hapa nahitaji msaada wa vyakula gani vya kutumia ili viniimarishe ... Ningependa kupata list maana sasa nimejipanga kupanga bajeti kabisa ya diet.

2) Mazoezi... Hapa pia nataka ushauri wa mazoezi gani ya kuyazingatia.. Binafsi nimeanza na mazoezi ya kuongeza pumzi.. Sana sana push up, squat na kata tumbo na kuruka kamba.. Ntaomba nyongeza pia hapa...

Ningeomba nyongeza ya msaada wa mawazo maana nnajipa mwezi mmoja na nusu ama miwili wa diet na mazoezi then nije kutest outcome itakuwaje.. So kama kuna nyongeza ningefurahi zaidi..

... Wanawake pia mnaruhusiwa kuchangia maana mnatuelewa zaidi..

Asanteni sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya hapa maujanja ya kutengeneza Natural Viagra, Mademu lazima wakukome!

Pitia na huo uzi una maujanja

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Mkuu umekuwa muwazi sana ngoja tukusaidie.
Kwanza ufahamu love making is an art and not sijui kufanya Gym au sijui kula karanga pweza nk.
Sasa basi kwa kifupi fanya hivii:
1. Zingatia good foreplay -hapa cheza vya kutosha na mpenzio,Anza kwa kumfanyia massage nyepesi kisha mpapase kila mahali, nyonya chu.chu kissing, nenda mpaka kwenye ikulu kama waweza pitisha huko ulimi msuck taratibu mpaka usikie analia kama nyau...(mind you hii ufanye kwa mtu unayejua health status yake)
2. Cheza na vidole vyako touch clitoris sugua taratibu nenda kwa g-spot ipress kwa pressure kidogo ya vidole vyako (ukiweza press g-spot while unamsuck kwa ulimi kwenye V)
3. Wakati ukiwa unafanya hayo 2 hapo juu utapata faida 2, kwanza utamfikisha orgasm yeye mpenzio na wewe pia utaweza kutulia na mihemko ya kukamua kupungua hii itakusaidia usipige bao La haraka.
4. Sasa kwenye technic ya kutopiga bao haraka kuko hivii
1.epuka kupump haraka haraka kama mzunguko wa feni mbovu
2. Ukiwa ndo unakula tende zako jaribu kumsemesha hapa na pale ukimsifia na kummkumbusha asikilizie utamu wa muhogo wako. muulize anapenda uingizeje au umfinye kifinyo gani....kwa kifupi try to keep some maongezi
3. Bana pumzi...hii itasaidia kuslow down mapigo ya moyo ambayo in return itakupunguzia msisimko
4.jaribu kuwaza mambo ambayo yanakutatiza ili ikusaidie kuondoa wendawazimu wa utamu unaoupata
5.jiamini wewe ndo dume La mbegu na hakuna kama wewe kwake...hii itakupunguzia mchecheto...
6. Usiwe na haraka ya kuwaza/kumuuliza eti unakaribia kukojoa nk....wewe kazi yako ni moja...kusakata ball...cheza na mpira mambo ya kuwaza mnoo hali ya uwanja kutokutoa kwenye reli...
Kwa sasa niishie hapo kwanza...
Well said.... [HASHTAG]#nmekusoma[/HASHTAG]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu hilo sio tatizo kama unaweza kwenda 4 round, kikubwa ni kujiamini tu mkuu..tatizo lako ni sawa na mara ya kwanza mtoto wa kiume unapoanza ku-sex ilikuwa ukigusa paja tu kitu hicho lakini baadae uzoefu ukipatikana mmmhh unakuwa mtaalamu. Anza diet yenye matunda na mboga za majani kwa wingi iwe sehemu ya maisha yako kisha lala mapema aka pumzika. Itafika mahala uta-improve tu hasa ukimzoea partner wako na ikiwezekana ukiona improvement unatakiwa uchukue likizo ukajichimbie eneo mbali na nyumbani na mpenzi wako kama wiki hivi na zaidi ili kazi iwe moja yaani mpo wote muda mrefu utajikuta mambo safi
 
Mkuu umekuwa muwazi sana ngoja tukusaidie.
Kwanza ufahamu love making is an art and not sijui kufanya Gym au sijui kula karanga pweza nk.
Sasa basi kwa kifupi fanya hivii:
1. Zingatia good foreplay -hapa cheza vya kutosha na mpenzio,Anza kwa kumfanyia massage nyepesi kisha mpapase kila mahali, nyonya chu.chu kissing, nenda mpaka kwenye ikulu kama waweza pitisha huko ulimi msuck taratibu mpaka usikie analia kama nyau...(mind you hii ufanye kwa mtu unayejua health status yake)
2. Cheza na vidole vyako touch clitoris sugua taratibu nenda kwa g-spot ipress kwa pressure kidogo ya vidole vyako (ukiweza press g-spot while unamsuck kwa ulimi kwenye V)
3. Wakati ukiwa unafanya hayo 2 hapo juu utapata faida 2, kwanza utamfikisha orgasm yeye mpenzio na wewe pia utaweza kutulia na mihemko ya kukamua kupungua hii itakusaidia usipige bao La haraka.
4. Sasa kwenye technic ya kutopiga bao haraka kuko hivii
1.epuka kupump haraka haraka kama mzunguko wa feni mbovu
2. Ukiwa ndo unakula tende zako jaribu kumsemesha hapa na pale ukimsifia na kummkumbusha asikilizie utamu wa muhogo wako. muulize anapenda uingizeje au umfinye kifinyo gani....kwa kifupi try to keep some maongezi
3. Bana pumzi...hii itasaidia kuslow down mapigo ya moyo ambayo in return itakupunguzia msisimko
4.jaribu kuwaza mambo ambayo yanakutatiza ili ikusaidie kuondoa wendawazimu wa utamu unaoupata
5.jiamini wewe ndo dume La mbegu na hakuna kama wewe kwake...hii itakupunguzia mchecheto...
6. Usiwe na haraka ya kuwaza/kumuuliza eti unakaribia kukojoa nk....wewe kazi yako ni moja...kusakata ball...cheza na mpira mambo ya kuwaza mnoo hali ya uwanja kutokutoa kwenye reli...
Kwa sasa niishie hapo kwanza...
Mpaka nimesahau nilichokua nataka kukiandika
 
Mkuu unahisia na huyo shemeji pia acha chips c nzuri kula protini kwa wingi na vyakula asilia
 
Mazoez sahii n squash!!! Na kukimbiaaa!!!!! Ilaa. Kikubwaa unatakiwaaa uwee na psychology tranquility!!!!!!!
 
Back
Top Bottom