Msaada wa mawazo wanaume wenzangu..

Msaada wa mawazo wanaume wenzangu..

Hii nimesema wataalamu waje, sikumbuki hata jina la huo mshipa wenyewe, ila mazoezi yake yanasaidia sana. Mi nilishawahi kuyasoma mahali miaka ya ujana, na yalinisaidia sana. Nilisema, kikubwa ni mindset tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sikosei inaitwa kegel mkuu ila wajuvi wa haya mambo wapo
 
kwanza pole sana kisha mi naweza sema bado hujapoteza nguv zako.. na mwez ni mwingi sana kujipa nafas na ngv za mwili ili upate kujumuika vema kwa gamee... ni hv fanya zoez la kata tumbo kila siku usiku kabla ya kulala piga zile mara 50 kwa mapumziko matano. usiku na asubuhi uwe unapiga mara 30 kwa mapumziko matatu. kisha baada ya hapo nenda uoge na upate maji lita moja unywe yote ukiyapa pumziko mara 3.. kisha baada ya masaa mawili unywe tangawiz ya kuchemsha vikombe viwili au chai ya mchai chai na chapati moja ama maandaz mawili..

kisha mchana kama unaweza ule nusu ya chakula cha kawaida unachokulaga au uwe unakunywa kahawa tu vikombe viwili ukifuatia nusu saa upate maji lita mbili baada ya hap usiku ule nusu chakula pia ya kawaida yako.

kisha urudie zoez la kata tumbo kama kawaida mara 50...
epuka kula vitu vya mafuta mengi badaka yaje upende matunda kama ndizi mbivu..chungwa n.k
fanya hivyo ndani ya wiki mbili. mwambie bibie alete mzgo.

uje unipe shukrani za dhat maana hutokua na hofu tena wala mawZo

angalizo langu.. katika ufanyaj mapenz wako pia unategemeana na akili yako. kwa namna bora pia ya ufanyaj mapenz uje kwa mawasiliano yang.. yafuatayo kass.naj36@gmail.com
ahsante na pole pia bado una uwezo mkubwa wa kufanya kitu kizur sana
 
kwenye vyakula wanashauri ule ambavyo havijakobolewa au kukaangwa sanaa ugali Dona, mihogo, viazi, maharage mabichi, mbog za majani kwa wingi zichemshwe kidogo, matunda
ila hapo kwa mdada usimtese tafuta plan B yakukeep mindset yake busy asije tafuta mchempuko mtoe out nyingi ila kwenye public place uvumilivu usije ukawashinda
safi sana na vitu kama karanga..nazi..ndiz mbiv visikose mkuu. uwe unahakikisha na ni kwa wiki mbili tu sio miez bwanaaa utakosa mwana na maji moto
 
Back
Top Bottom