Msaada wa mawazo wana JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa mawazo wana JF

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Zorrander, Aug 16, 2012.

 1. Zorrander

  Zorrander JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Habari wana JF, Naombeni msaada wa mawazo katika hili wandugu. Kuna jirani yangu ambaye mara nyingi nikienda kazini huwa nampa lift. Yeye anaishi na jamaa yake ambaye pia tunaheshimiana sana. Huwa tunaongea mambo mengi sana yakiwemo ya mahusiano wakati tukiwa njiani na mara nyingi huwa tunakuwa peke yetu. Jamani huyu mdada ni mzuri and educated. Nakiri nilimtamani sana since day 1 nilipomuona lkn kwa kuwa nina mpezi na namheshimu nilijitahidi kuwa mbali. Tatizo ni tulipoanza kwenda wote kazini nalishindwa kabisa kujizuia nikam-test at least anikatae labda itanisaidia nijiepushe, lkn hakunikataa na ananionyesha kwa mbali kwamba kuna nafasi ya kumpata. Bado huwa anapenda kutumia lift na anapenda tuzungumzie mapenzi mda mwingi. Nifanyeje?? Hata leo tulikuwa pamoja.
   
 2. d

  decruca JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 295
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mh! hayo makubwa, it seems yeye hajaolewa na ww hujaoa ila mna wapenzi tu. sasa inavyoonyesha nyie wote mmeshapendana zaidi ya hao wapenzi wenu. bac halalisheni tu mahusiano yenu muoane kabisa, na ujiandae kukabiliana na bifu la huyo jamaa yake maana umesema ni jirani yako, ila kama huyo mpenzi wako mmeshafika mbali labda umeshamchumbia. bac ni kiasi cha kubadilisha time ya kwenda kazini either uwahi sana au uchelewe sana ili mradi usimpe lift. pia tumia muda mwingi kuchat na mpenzi wako, jitahidi bac umuoe fasta bwana, wanawake wazuri hawaishi mkuu, utapenda kila siku, kuwa na msimamo.
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  let me get this straight....
  1.unamtamani...
  2.ukamtongoza
  3.akakubali kiaina

  4.sasa unatuuliza sisi 'ufanyaje'?

  seriously??????
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Ama kweli penye miti hapana wajenzi!
   
 5. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wee ulikuwa hujui kuwa gari ni kisu cha kuchinjia wanawake...mpenzi wake hana gari basi anakuona wewe bora. hivyo wala usicheleweshe mwana wee mkandamize tuu.
   
 6. salito

  salito JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Kazi nzuri sana kiongozi,anatuchosha tu
   
 7. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280

  yeah hebu mwambie ammege au la? ndo ivo wote hatuna IQ moja....
   
 8. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ebwana The Boss hata mimi nimetokea kuchukia aina hii ya uulizaji maswali!
  Mtu anajipanga anafanya jambo hadi linafikia anapopataka..
  Halaf as if anatafuta 'kibali' anakuja kuuliza afanyeje?
  Jamani ngono sio jambo la dharura..kama umeweza kufika ulipofika..wewe malizia tu bana!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  hawa watu funny aisee..
  atakuja kutuomba ushauri 'avae condom au asivae'
   
 10. Zorrander

  Zorrander JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 437
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  I thought atakataa moja kwa moja which means hatakuwa anatumia hii lift tena. Tukiwa mbali nahisi naweza kuji-control. Inshu ni wasaa wa kuwa peke yetu kila mara.
   
 11. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Umeonaeeh!
  Wakati mwingine aweza uliza..'Nipo guest house demu kaniuliza aje au asije..wadau mnasemaje'??
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,102
  Likes Received: 6,565
  Trophy Points: 280
  Pamoja na kukumalizia ile hela yote,
  bado unatamani tu.

   
 13. r

  royna JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 481
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  neno la Mungu linatufundisha kuwa'Ikimbieni zinaa'wewe umeisogelea zero distance! ni sawa na kuwa na mwanamke chumbani guest house, halafu unauliza mapenzi ya Mungu. Ukimsaliti mchumba wako wa sasa kwa sababu ya uzuri wa huyo dada, tabia yake akiwa mke wako, ndo utagundua kuwa hakuwa mzuri.
   
 14. k

  kisukari JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,757
  Likes Received: 1,046
  Trophy Points: 280
  una visa
   
 15. k

  kisukari JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,757
  Likes Received: 1,046
  Trophy Points: 280
  au nipo nae kitandani,nimvue nguo,nisimvue
   
 16. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #16
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Tamaa ya ngono inafanya kazi yake, mweeee!
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Siku akikosa lift au ukauza gari basi ndio unapigwa chini au Akakutana na mtu mwenye x5 wewe na bito lako unapigwa chini.

  Achana nae huyo tulizana!!
   
 18. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #18
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Uzinzi na divai huondoa fahamu za wanadamu.kaa mbali naye na acha kumpa lift
   
 19. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #19
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Umemtamani siyo kwamba unampenda. Acha ujinga. Kaa na wako na hiyo lift acha kumpa haina maana. Nyie ndiyo waharibifu wa maisha ya wenzenu.
   
 20. Hayajamani

  Hayajamani JF-Expert Member

  #20
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 883
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mmmh, hiyo kali. Sasa kama wana jamvi walivyosema nyie wote hamjafunga pingu, mna wapenzi tu! Jamani hebuhebu .... ebwanae .. cha msingi msishikwe! Ila mkinogewa sasa ..kazi kwenu... balaaa hiyoo
  [​IMG]
   
Loading...