Msaada wa mawazo wana JF

Don't spoil what you have
by desiring what you don't have
.
.
.
Bcoz
.
.
.
What you have now,
is one of the many things you once prayed for..!!
 
Mkuu, "kila kinachong'ara sio dhahabu".

Kama umeridhika na mpenzi wako wa sasa hivi wewe endelea na kumuheshimu huyo dada na jaribu pia kuepusha mazungumzo ya kumuonesha kwamba na wewe pia uko available.

Kutamani ni sehemu ya uanaume na kuweza ku-control matamanio ni uanaume pia. Kuna wakina dada warembo wengi sana na wote wanakuja kwa tabia tofauti, nzuri na mbaya. Sasa tutawatamani na kuwataka wangapi?

Kama una furaha na mpenzi wako wa sasa hivi basi nakushauri usiipoteza hio furaha kwani huna huakika huyu unayemtamani atakuja na full package. Sasa kwanini u-risk kumpoteza huyu wa sasa hivi ambaye upo nae na ujataja matatizo yoyote?

Na ukimpata huyu wa sasa hivi unaye mtamani,je ukimuona mwingine ukamtani nae itakuwaje? Ndio maana nikasema hapo juu,kuweza ku-control matamanio ni sehemu ya uanaume pia.

Nina huakika huna nia ya kuwachezea hawa wadada wawili, kama una nia hio sidhani kama ungekuja kuomba ushauri hapa mkuu.

Huo ndio ushauri wangu mkuu.

Kila la kheri.
 
mkuu ukianza hivyo utashindwa kabisa kuja kutulia na mwanamke mmoja,unaweza ukawa nae huyo then baada ya muda akatokea mwanamke Mwingine akakuvutia utamuacha tena na huyu na kuwa na huyo,so ni vizuri tukaridhika na wenzi wetu,wanawake wazuri na educated wapo kila mahali ni vizuri kuchunga tamaa tena tamaa mbaya.wakati mwingine inabidi turidhike na tulivyo navyo.
 
ukiamua kutulia na demu mmoja usihangaike tena,km amekukubali wew unajua kuna wangapi amewakubali?tulia kaka hawa mademu wazur huwa hawaishi.
 
kama mimi ndio boyfriend wa huyo mdada na nkakustukia michakato yako ya hatari kwenye faraja yangu ya maisha,...FIRST THING NAKUTEKA NA LAZIMA NIKULE TIGO NAWEWE UONE UTAMU IKIKUINGIA PIA.....;J*I*N*G*A wewe mtoa mada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom