Heshima kwenu wanajukwaa tunaomba mawazo yenu kwa wapenda nchi hii muongeze nguvu kwenye jukwaa letu la SIASA maana mpambano umekuwa mtamu kwa magwiji wa siasa. Vita ni kati ya Dr. Slaa Mnyika na kikosi cha ccm chini ya Nape Nnauye. Mawazo yenu ni MUHIMU. MI NKO HUKU NIPUMZIKE NTARUDI VITANI UPYA. Kweli Majukwaa yanafunga mwaka kwa hoja nzito.
hujatushawishi bado.....we are here to stay.....
mke wangu sogea ubaazi huu unipe massage kidogo.Wee thubutu! nani anataka kuuona mwaka akiwa guatenhamo!
ananchekesha.mapambano gani hamtoani hata damu?
mke wangu sogea ubaazi huu unipe massage kidogo.
si bora niende kuchangia hiyo topic kuliko kukupa massage
Mpenzi wangu mpya hebu sogea hapa uni kiss mwaa kama la mchana