babalao 2
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,398
- 3,243
Heshima kwenu wanajukwaa tunaomba mawazo yenu kwa wapenda nchi hii muongeze nguvu kwenye jukwaa letu la SIASA maana mpambano umekuwa mtamu kwa magwiji wa siasa. Vita ni kati ya Dr. Slaa Mnyika na kikosi cha ccm chini ya Nape Nnauye. Mawazo yenu ni MUHIMU. MI NKO HUKU NIPUMZIKE NTARUDI VITANI UPYA. Kweli Majukwaa yanafunga mwaka kwa hoja nzito.