Msaada wa Mawazo unahitajika JUKWAA la SIASA

babalao 2

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
5,399
3,243
Heshima kwenu wanajukwaa tunaomba mawazo yenu kwa wapenda nchi hii muongeze nguvu kwenye jukwaa letu la SIASA maana mpambano umekuwa mtamu kwa magwiji wa siasa. Vita ni kati ya Dr. Slaa Mnyika na kikosi cha ccm chini ya Nape Nnauye. Mawazo yenu ni MUHIMU. MI NKO HUKU NIPUMZIKE NTARUDI VITANI UPYA. Kweli Majukwaa yanafunga mwaka kwa hoja nzito.
 
Wee thubutu! nani anataka kuuona mwaka akiwa guatenhamo!
 
poleni sana ila sisi akili zetu hazitaki bughudha wala tafrani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom