Msaada wa mawazo; Nataka kwenda kusoma ughaibuni

Msaada wa mawazo; Nataka kwenda kusoma ughaibuni

kayanda01 nimekusoma hebu jaribu kupita kwenye balozi za Norway,Sweden,Finland jaribu kuulizia kuhusu schoolarships,na hata balozi zingine ambazo sijazitaja,pia itakuwa rahisi kidogo kwako kupata funds kama ukiwa tayari na admission letter kutoka chuo unachotaa kwenda,hakuna lisilozewekana do your best ,God atafanya the rest.Kila lenye heri

ahsante sana mama. Nitazingatia hayo ulionieleza.
Yes I am doing my best, God will do the rest.

cheers..
 
Kwa hiyo umekuja kujaribu broken zako hapa? Watu wengine sijui mataahira namna gani, ina maana huwezi kuuliza kwa Kiswahili fasaha mpaka utuchangine lugha hapa? Kwa taarifa yako huwezi kupata scholarship kwa kutumia diploma. Nenda kajisajili OUT uanze degree yako ya sheria.

hahahahahahaha wakti unaandika nahisi ulikua na hasira sana

ok scholarship unapata pia kwa diploma ila za kueleweka
 
Yes mkuu, always in learning mode with trainable mind.

Karibu mkuu kwenye theme of the thread.

Nitoke vipi ? I wanna crack the code, ila daaah mambo kitaa ni magumu sana kaka. Life limevaa pensi !!

napendaga sana wachuoni watambue hili mapema ili wabadilike maisha wayaishio .
 
Nilitaka sana kusikia uzoefu kutoka UK. Mkuu Papizo, nafurahi kupata mchango wako mkuu. Kwakweli UK ndo target yangu hasa. Now nipo nasaka scholarship kwa juhudi zote.

Ila naona kuna mdau hapo juu kasema kwamba kwa sasa UK ni pagumu mno, sio rahisi kufanya saving kutokana na maisha kuwa juu sana, pia na kodi ni nyingi sana. Hili wewe unalionaje huko?

Shukrani mkuu

Yeah hiyo ni kweli kabisaaa UK sasa hivi kuingia sio rahisi kama zamani ni ngumu sana tena sanaaa plus maisha yamekuwa juu sanaa maana hapa ku save hela ni ngumu huwezi na sio rahisi hata kidogo na maisha yalo juu sanaaa ukitofautisha na nchi zingine....
 
Thanks mkuu for your swift reply. Daah kibongobongo ni ngumu sana kupata mtu wa kukukopesha such amount ktk mazingira hayo.

Ngoja niendelee kutafuta fursa za scholarships mkuu.

Mkuu Jerrymsigwa hivi mtu akikuposha hiyo ukatusua huko Australia inaweza kulipa kwa muda gani hili deni manake nataka kujua ili nikiwa kwa wafadhili niwe na jibu la uhakika kwenye hili suala la kurudisha deni.
 
Inategemea boss, hkn formula but at the end utalipa tu
 
mkuu, code mixing sio dhambi ndugu angu. Naona nishaathirika na code mixing. Niwie radhi sana kama uandishi wangu umekukwaza kivyovyote vile
Hariri hadithi yako itiririke kwa kiswahili murua.Usiwe kama miss Kimbiji anahojiwa na radio Mafua efeem[emoji41]
 
i think it has become increasingly hard kupata schorlarship ya undergraduate in Europe..na hii issue ya Immigrants hata kupata Visa ni utata..USA is fine.

lakn with the type of ambition you seem to habour..bora you look East, unaweza pata very good opportunities in Singapore, South Korea, Japan or China kabisa...
 
Dah.. Bongo bado sana kama kila mmoja anawaza apate elimu ili aajiriwe. Sijui shetani huyu atatuachia lini🙁

upload_2016-2-5_15-4-21.jpeg
 
Mleta mada ubarikiwe sana coz umewaokoa wengi ikiwemo mimi kutaka kuomba ushaur wa hili coz wengi tunaogopa kukosolewa kupitia ww nimesubsribe ile website na kila post nimesoma kwa makin na kubookmark hii thread kwa ajili ya baadae, nami ni mhanga wa kutaka scholarship haijalishi ni hapa Africa au mashariki au magharibi ya mbali ila mimi nataka level ya masters thanks mkuu. I wish on your wishez
 
Kwa hiyo umekuja kujaribu broken zako hapa? Watu wengine sijui mataahira namna gani, ina maana huwezi kuuliza kwa Kiswahili fasaha mpaka utuchangine lugha hapa? Kwa taarifa yako huwezi kupata scholarship kwa kutumia diploma. Nenda kajisajili OUT uanze degree yako ya sheria.
Nimekumaind pumbav weweee! Yaani watu kama nyie hamfai kabusa JF. Namba kabisa mods wawaondoe. Kujifanya mnajua. Nyambaaf! Wakiitwa wanaojua kiingereza na wewe utaenda? Kukosoa kosoa sijui ndo mnataka sifa sijui ulimbukeni! Pimbi kabisa. Mods naomba mng'oe hii njuka humu pl
 
Mama mbona unanuka papuchi! Nani kakwambia mimi nimetamba kwamba najua kiingereza? Hebu rudi tena unisome vizuri, hata kama mzee amechopeka mwambie akuachie ili usome vizuri labda utaelewa nilikuwa namaanisha nini? Nyambaaaff mwenyewe!
 
Back
Top Bottom