kayanda01
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,416
- 1,287
- Thread starter
- #21
Umeona mkuu
Age imemtupa, cha advice ni kufanya degree Tanzania tena vyuo vikubwa, baada ya degree ndio atafute scholarship ya master anaweza kupata, hii sio undergraduate.
Or wajanja kama watoto flani hivi simemi jina hutumia madaraka yao kubadilisha vyeti vya kuzaliwa na kuwa chini ya miaka 25, ili watoto wao wapate scholarship.
Kama anaweza hayo makaujanja abadili cheti cha kazaliwa atengeze passport, 27 ilete 23 sio mbaya.
Akiweza hilo, lazima awe na international English certificate, hii inapatikana British council posta, anatakiwa afanye exams point zinatakiwa 5.5 or 6.0
Scholarship ukizitaka zipo undergraduate
Mkuu Miunda, thanks a lot for your inputs in this thread.
Kuhusu ku-adjust age kwenye Cheti cha kuzaliwa. Nakubaliana kabsa nawewe on this, nasikia many people are maneuvering that. Well, na umesema kabsa kwamba hao watu hutumia 'madaraka' yao kufanikisha hayo maneuver. Now imagine kwa mtoto wa mkulima, all the way from village to town kusaka maisha, with no referee mwenye 'madaraka' wa kunishika mkono, naweza fanikisha hayo maneuver? Nauona ugumu katika hilo kaka. Plus being cost-conscious: nibadilishe hiyo birth certificate - RITA, nibadilishe kwenye Passport - UHAMIAJI, nibadilishe kwenye academic transcripts - COLLEGE, nibadilishe na kwenye driving license - TRA (nilihudhuria veta for driving course, nikakata na leseni kabsa). Mkuu nadhani unauona huo ugumu ku-maneuver hiyo kitu kwa mtoto wa 'ordinary citizen' kama mimi. Nadhani huo 'ujanja ujanja' una trigger some cost implications!
Concerning the 'International English Certificate' , shukrani sana for making me aware of that. sikuwa nalifahamu hilo. I will asap visit the British Council to follow-up on that.
Touching the base, I will heed on your good advice kwamba nifanye degree hapa hapa nchini kwenye Chuo kikubwa. Then nastrive kwenda abroad through masters scholarship. Na kweli kaka, hizo scholarships za masters zipo nyingi mnooo.
Stay always blessed mkuu.