Msaada wa mawazo; Nataka kwenda kusoma ughaibuni

Msaada wa mawazo; Nataka kwenda kusoma ughaibuni

Mama mbona unanuka papuchi! Nani kakwambia mimi nimetamba kwamba najua kiingereza? Hebu rudi tena unisome vizuri, hata kama mzee amechopeka mwambie akuachie ili usome vizuri labda utaelewa nilikuwa namaanisha nini? Nyambaaaff mwenyewe!
Aliyekukojolea usiku ndo amekuvuruga akili pimbi wewe. Be smart.
 
Heshima kwenu wapendwa wote wa JF.

Kwa heshima zote, naombeni mawazo yenu katika hili.

Kielimu: I hold a Diploma in Law. Elimu yangu yote nimesoma hapa hapa nchini Tanzania.
Kiumri: I am now aged 27. Marital status: not married.

Huwa nina plan ya kwenda kusoma ughaibuni (for degree level) kwa scholarship. Maana naona vijana wenzetu watanzania wengi wanaobahatika kusoma ughaibuni, wakija hapa nchini wanatuacha sana kwenye job-hunt. Abroad graduates have been 'shining stars' in the entire employment industry, particularly in Tanzania scope.


NOW folks, hereunder are my key concerns on which I sincerely would like to be availed with your kind advice and constructive insights:

(a) Nataka kubadili taaluma, departing from Legal lane to other cadre. Je, ni course gani nyingine mnanishauri niapply for degree level huko ughaibuni ?? Basing on: (i) Easy availability of 'full scholarship' ; (ii) Simplicity of jobs/employment accessibility.

(b) Je, ni nchi gani/zipi (Europe or America) ambazo ni rahisi mwanafunzi wa chuo kupata kazi za part time??
Thus, nasoma huku napiga kazi partly. NOTE: Hata kazi za 'kubeba box' ni poa tu.

My languages and fluency level:

Swahili = native speaker.
English = fluent in written, good in spoken.
French = basic in oral & written.

MOTIVE katika hili tamanio langu la kusoma ughaibuni ni ili nipate quality education. Pia wakati nikiwa huko kimasomo, nakuwa natafuta pesa via petty unskilled jobs. Then after completion of my studies, narudi home kujenga Taifa letu.

Ni hayo tu ndugu zangu. Nipeni ushauri. Natanguliza shukrani kwenu.

NaCC wadau wafuatao walioko huko ughaibuni for their experience sharing katika uzi huu:

Urquhart , Victoire , Tokyo40 , Miunda , Uso wa nyoka , Copenhagen DN , Jimena .


Kayanda (kakijana).

Kayanda, sifahamu uwezo wako wa kifedha umekaaje.

Ulaya wanazo hizo Scholarships lakini huwa zinakuwa ni katika kukupunguzia ada kiasi fulani katika kozi utakayosomea.

Kwa mfano kama ada ya mwanafunzi wa kimataifa ni kama paundi 9000 basi wanapunguza paundi 2000 na unalipa salio.

Vyuo vingine unakuwa umechaguliwa kutoka kwenye kundi la walo wengi na hivyo kulipiwa ada tu na mengine yanakuwa ni juu yako.

Jambo lingine la muhimu kuzingatia ni aina ya kozi unayotaka kusoma, vyuo hivi huwa na kozi maalum ambazo wanataka vijana wa kuzisomea na ni nadra kukutana na kozi kama ya Law Undergraduate, lakini hakuna lisowezekana.

Siri kubwa ya kupata hizi Scholarships ni kufanya maombi kwanza kabla ya kila kitu, kwa mfano kama kozi inaanza ,mwezi September 2016 basi mpaka sasa unatakiwa uwe umefanya application na umepewa "unconditional offer" yaani offer ambayo haina masharti.

Unapopata barua hii ya unconditional offer hatua inayofuata inakuwa ni kusaka hizi scholarships.

Sasa kuna baadhi vyuo ambavyo vinatoa scholarships na nimeorodhesha URL zake hapo chini.


Undergraduate scholarships for international students - Scholarships and fees - International students - Kingston University London

UG Scholarships - Fees and scholarships - Why Sheffield? - Prospective International students - The University of Sheffield

Hapa wanaongelea kozi wanazotolea scholarships halafu hapo chini kuna kozi ya Law

Law International Scholarships - Fees and scholarships - Why Sheffield? - Prospective International students - The University of Sheffield

Undergraduate bursaries and scholarships for International students

Ila kama alivyooeleza mmoja wa wachangiaji hapo juu, UK kwa sasa ni pagumu lakini ukifanya kila kitu kwenye mstari hapana ugumu.

Haya nimekumwagia mtama fanya mambo.

Kumbuka applications katika vyuo hivi na vingine UK na baadae fuatilia scholarships. Vijana wengi wa mataifa mengine hutumia ujanja huu.

Jitahidi tu.
 
mkuu, code mixing sio dhambi ndugu angu. Naona nishaathirika na code mixing. Niwie radhi sana kama uandishi wangu umekukwaza kivyovyote vile
Hahahahaha! W ameona hilo Code mixing halijakomaa Dogo. Likuze taratibu litakomaa wanakuambia Roma haikujengwa siku moja!
Lakini kuhusu elimu soma tu hapo Bongo hayo mambo unatafuta ni makubwa sana usijidanganye Kwamba wasomao ulaya wote ni Cream inategemea university na university nyingi nzuri you have to sponser yourself na wewe Uwezo huna hivyo kama kujenga vibanda vya Abunuwasi.
 
Ushauri wangu jaribu kuomba scholarship kama utapata iwe na udhamini wa serikali au shule utakayoipata. Au omba visa ukishaingia kiwanja beba boksi huku tafuta njia za kupata sheria au kujiunga na shule. Ila ukiwa na sheria serikali ya hio nchi itakupa mkopo na ukimaliza utakuwa unalipa kidogo kidogo kila mwezi. Pia kama utapata USA itakuwa ndio vizuri kutokana certificate zao unapata kazi kirahisi nchi yoyote duniani. Na computer program ( computer science) utakula hela vizuri sana tu.
 
Hahahahaha! W ameona hilo Code mixing halijakomaa Dogo. Likuze taratibu litakomaa wanakuambia Roma haikujengwa siku moja!
Lakini kuhusu elimu soma tu hapo Bongo hayo mambo unatafuta ni makubwa sana usijidanganye Kwamba wasomao ulaya wote ni Cream inategemea university na university nyingi nzuri you have to sponser yourself na wewe Uwezo huna hivyo kama kujenga vibanda vya Abunuwasi.
Saidi na kioze usimvunje moyo jamaa, kuna mtu yupo USA jamaa kazaliwa kwenye nyumba ya udogo na fito mpaka kamaliza form4 anaishi mlo mmoja na nyumba ileile kwa sasa jamaa yupo unyamwezini kwahio never say never[emoji6]
 
navofahamu kila chuo kinakua na utaratibu wakusomesha wanafunzi nje kwa level zote ila kwa mfano level hii ya shahada nilazima uwe umejiunga na chuo kwanza zen mwaka wa kwanza hakikisha unafuzu kwa alama za juu (GPA) kuzidi wote ktk kada yako hapo chuo uwakusanya wanafunzi walio na kiwango cha juu kwa kila kada na kuwapa usail wa mahojiano na kupata idadi ya inao waitaji kuwapeleka chuo

kwa kifupi mtaju masikin ni nguvu zake so unaweza pitia hio njia au km upo vizur kifedha jipeleke tyu
 
Mm nnasuali jamani , ukipata avn ndio kigezo cha kuendelea degree? Na nivigezo vp vya kupata io avn
 
Back
Top Bottom