kayanda01
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,142
- 971
Heshima kwenu wapendwa wote wa JF.
Kwa heshima zote, naombeni mawazo yenu katika hili.
Kielimu: I hold a Diploma in Law. Elimu yangu yote nimesoma hapa hapa nchini Tanzania.
Kiumri: I am now aged 27. Marital status: not married.
Huwa nina plan ya kwenda kusoma ughaibuni (for degree level) kwa scholarship. Maana naona vijana wenzetu watanzania wengi wanaobahatika kusoma ughaibuni, wakija hapa nchini wanatuacha sana kwenye job-hunt. Abroad graduates have been 'shining stars' in the entire employment industry, particularly in Tanzania scope.
Frankly speaking, nilipanga kutimiza lengo langu hili since back in days mwaka 2013 baada ya kuwa nimehitimu hiyo Diploma. Thus, nilikuwaga nimepanga niunganishe kusoma degree through scholarship opportunity. Lakini kutokana na hali ngumu sana ya kimaisha katika familia yangu (single-mother headed family), nikaamua niingie kwanza uraiani kuchakarika kwa kutumia hako kaelimu nilikopata ili nimpe support mama. As such, it is now two years down the line since I attained the Dip.
Kwa sasa ndio ninakusudia to go for my ambition ya kusoma degree level huko ughaibuni if God awards a 'green light' in that regard. Ninatarajia mid this year nianze ku-explore any available scholarship avenues kwa ajili ya Admission ya mwaka kesho. Kwa sasa, kujiendeleza kielimu ndo my primary center of attention.
Life gets worse huku kitaa jamani, and worse comes to worst!
NOW folks, hereunder are my key concerns on which I sincerely would like to be availed with your kind advice and constructive insights:
(a) Nataka kubadili taaluma, departing from Legal lane to other cadre. Je, ni course gani nyingine mnanishauri niapply for degree level huko ughaibuni ?? Basing on: (i) Easy availability of 'full scholarship' ; (ii) Simplicity of jobs/employment accessibility.
(b) Je, ni nchi gani/zipi (Europe or America) ambazo ni rahisi mwanafunzi wa chuo kupata kazi za part time??
Thus, nasoma huku napiga kazi partly. NOTE: Hata kazi za 'kubeba box' ni poa tu.
My languages and fluency level:
Swahili = native speaker.
English = fluent in written, good in spoken.
French = basic in oral & written.
MOTIVE katika hili tamanio langu la kusoma ughaibuni ni ili nipate quality education. Pia wakati nikiwa huko kimasomo, nakuwa natafuta pesa via petty unskilled jobs. Then after completion of my studies, narudi home kujenga Taifa letu.
Ni hayo tu ndugu zangu. Nipeni ushauri. Natanguliza shukrani kwenu.
NaCC wadau wafuatao walioko huko ughaibuni for their experience sharing katika uzi huu:
Urquhart , Victoire , Tokyo40 , Miunda , Uso wa nyoka , Copenhagen DN , Jimena .
Kayanda (kakijana).