Hata pgm unaweza kuwa engineer.PGM kama home pako vizuri na wewe upo vizuri kupiga nyingi class piga hiyo baadae usepe mbele.
Ila kama umeanza kuwa na hofu mkuu kapiga PCM hiyo uje kuwa engineer makini kwenye kitengo makini.
Kwanini asepe mbele?? Kwani hapa tz hamna kozi za watu wa PGM??PGM kama home pako vizuri na wewe upo vizuri kupiga nyingi class piga hiyo baadae usepe mbele.
Ila kama umeanza kuwa na hofu mkuu kapiga PCM hiyo uje kuwa engineer makini kwenye kitengo makini.
Kwa chemical engineering sawa hataweza kusoma ila kwa geology anasoma tena vizuri kabisa!!Kama una mpango wa kuja kupiga kozi za Engineer (Ukiondoa Chemical Engineer) na kozi za Geology basi PGM ndio mahali pake.
Ni combination nzuri, iko sambamba na PCM.
Kama una wasiwasi sana na hiyo Combination, basi fuata ushauri huu...
Kama shule uliyopangiwa PGM ina PCM pia, na kama wewe umefaulu Mathematics kwa kiwango cha D na kuendelea, wewe nenda kajiunge na hiyo shule, ila ukifika huko badilisha Combination kutoka PGM kwenda PCM juu kwa juu (Ni jambo linalowezekana kwa 100% ukiwa na dhamira au msimamo). Hiyo style tunaiita kubadilisha gear angani.
Nirudi kwako sasa! Mkuu nakumbuka enzi hizo PGM was my favourite!! Kiuhalisia utasoma kozi zoooote ambazo mtu wa pcm anasoma isipokua kozi kama chemical engineering ambayo inahitaji kemia kwa kiwango kikubwa!!!Habari wana JF toka selection zimetoka mpaka Leo kichwa changu hakijakaa sawa, shida nilo nayo ni kwamba nimepangwa PGM ifunda tech lakini asilimia kubwa ya walimu ya shule nilomalizia wananambia kuwa hii combi haina maana ivo nikabadilishe ila hawanambii sababu ivo nikaona sio mbaya kuja kuomba ushauri kabla sija badili, nikiwa na maswali hata kama combi haina maana tz Kwann IPO? Na baada ya advance INA faculty ngapi chuoni? Zipi? Na zina manufaa apa bongo?
Nawasilisha msaada wenu ndio mkombozi wangu kabla sijakurupuka
Sawa mkuu kwa izo apo chiniNirudi kwako sasa! Mkuu nakumbuka enzi hizo PGM was my favourite!! Kiuhalisia utasoma kozi zoooote ambazo mtu wa pcm anasoma isipokua kozi kama chemical engineering ambayo inahitaji kemia kwa kiwango kikubwa!!!
Usidanganywe mkuu! Kama unapenda kuwa engineer pgm au pcm ndio penyewe...usije dangamywa mtu mkuu!!
Unapoongelea comp engineering unangelea hardware and software...unapoongelea hardware unaongelea electronics...diode..capacitors na umeme kwa ujumla...hivi vyooote utasoma ukiwa form5 au 6 kwenye physics!!Kwa izo nyingine mfano automation, telecommunications, comp engineering na zinazofanana vip mkuu
Kama unaweza PCB chukua hii.Hizo PCM na PGM ni mtu na Dada yake ila kama unajiona ni mvumilivu hutaogopa kufanikiwa hata uzeeni basi chukua PCM au PGM sababu kubwa hata uwe na Elimu gani ya Engenearing mafanikio yako asilimia 85 yatategemea uzoefu ila Ukiwa Docta,Medical lab ni suala la nin unaelewa na unatenda kwa kiasi gani hapo ndipo mafanikio yako.Pia usisahau kufata dream yako maana hata ukiwa huna kitu umetima dream yako ya kuwa na taaruma Fulani huta juta.Kiukweli Mimi interest zangu huwa ni computer na electronic na electric na zinazo resemble kama automation na zingine
Hata pgm unaweza kuwa engineer.
Combination yyte ya science ni deal endapo tu utaifaulu vizuri.
Nakushauri nenda kasomee ila ujitahidi ufaulu vema. Kwa sasa achana na kuusikiliza ushauri wa walimu wako wengi wao watakupoteza kwani mwisho wa siku watakwambia ukasome HKL
Home kuwa vizuri kama vipi mkuu?PGM kama home pako vizuri na wewe upo vizuri kupiga nyingi class piga hiyo baadae usepe mbele.
Ila kama umeanza kuwa na hofu mkuu kapiga PCM hiyo uje kuwa engineer makini kwenye kitengo makini.