Naipataje mzee! NaihitajiSina ila kama mdau wa mambo hayo najua ipo na hata madukani zipo, mtu wa karibu yangu anafundisha hilo somo na anayo....tatizo ni kwamba shule zinazofundisha hilo somo ni chache hasa kwenye mikoa mingi kwa hiyo hata wauzaji wa materials hizo hawaoni uhitaji mkubwa wa kuleta!
Nichek PM bossSina ila kama mdau wa mambo hayo najua ipo na hata madukani zipo, mtu wa karibu yangu anafundisha hilo somo na anayo....tatizo ni kwamba shule zinazofundisha hilo somo ni chache hasa kwenye mikoa mingi kwa hiyo hata wauzaji wa materials hizo hawaoni uhitaji mkubwa wa kuleta!
Thank you mkuu! Ndo mana nkaleta huu uzi ili nipate mawazo hayafuata syllabus ya English kawaida,objectives zilezile,
apo ni kuchambua vitabu Mkuu,play 4,novels 4 ,na poem Kama 8 ivi kutoka summons,song of lawino,na poems from east Africa,umemaliza
Akikucheki Pm basi naomba ulete feedback hapa mkuu ili kusaidia wengine.Nichek PM boss
Ok shukran
Sawa sawa najua wengi tuna shida hiiAkikucheki Pm basi naomba ulete feedback hapa mkuu ili kusaidia wengine.
Nadhan mpaka hapo huyu jamaa kashaelewa kuwa hamna kwa walio wengi sasa bi zamu yake atutake radhi kwani ameshutumu kuwa hatuna utamaduni wa kufanya tafitiBrother i have searched enough! Huenda huku nilipo haipo maana nimetembea shule nyingi wanazofundisha hilo somo hawana! Wana pamphete zinaonesha guidelines tu sio syllabus as syllabus ya literature in english......kama ipo plz nambie zinapatkana wapi!
Mkuu una uhakika na ulichoandika hapo kwenye poetry??fuata syllabus ya English kawaida,objectives zilezile,
apo ni kuchambua vitabu Mkuu,play 4,novels 4 ,na poem Kama 8 ivi kutoka summons,song of lawino,na poems from east Africa,umemaliza
Wadau nahitaji materials ya Literature in English O-level. Nimepangiwa kufundisha hilo somo ambalo limekuwa introduced for the first time hapa shuleni! Mwenye uzoefu yeyote anaeza nisaidia 'experience package' aliyonayo nipate mwanga. For any softcopy materials please send me via sombombo@gmail.com.
Thank you in advance
Of course it's a new subject in many schools, and so the teaching materials are rare. Ila binafsi sijawahi ona syllabus mpya ya Literature in English inatumika ya English , otherwise kama imetolewa recently.Wadau nahitaji materials ya Literature in English O-level. Nimepangiwa kufundisha hilo somo ambalo limekuwa introduced for the first time hapa shuleni! Mwenye uzoefu yeyote anaeza nisaidia 'experience package' aliyonayo nipate mwanga. For any softcopy materials please send me via sombombo@gmail.com.
Thank you in advance