Msaada wa materials ya Literature in English

Msaada wa materials ya Literature in English

Wadau nahitaji materials ya Literature in English O-level. Nimepangiwa kufundisha hilo somo ambalo limekuwa introduced for the first time hapa shuleni! Mwenye uzoefu yeyote anaeza nisaidia 'experience package' aliyonayo nipate mwanga. For any softcopy materials please send me via sombombo@gmail.com.

Thank you in advance
Yapo kwenye tHL app.
Jinsi ya ku-install tHL app
---------------------------
1.Kwa simu Online version Nenda play store/window store SERACH tHL kisha install. 2. Kwa computer download hapa tHL app ina Scholarships, Notes form I - VI na Ukurasa wa Jamii wenye makala zinazoeleza namna ya kuachana na Msongo wa mawazo na maelezo ya kuinstall kwenye computer haya hapa instructions .

Maelekezo zaidi
---------------
Contacts Office: 0767 663 951, 0674 338 033, 0785 909 038 - Upewe maelekezo.
 
Wizara gani haijatoa hiyo syllabus sema wewe hujaipata na hujatafuta! Kwa nini hatuna utamamaduni wa kufanya utafiti wa kutosha? Pia watu waelewe tunaongelea literature in English na sio English language subject in Tanzania!
Nahisi sijafuatilia mkuu, hebu tusaidie hiyo syllabus ni ya mwaka gani na nielekeze pa kuipata ikiwezekana nina shida nayo sana
 
Ni kweli hadi leo Syllabus ya hilo somo haipo na bado mitihani Necta wanatoa na wanataka mwanafunzi afaulu.It is weird and absurd.Plays kwenye Literature in English ni hizi:The Lion and the Jewel,The Trials of Brother Jero,The Swamp Dwellers,Kinjekitile,Dillema of a Ghost,The Barbed Wire, Dedan Kimati, The Government Inspector.
Kuna jamaa amesema anashangaa eti hatuna utaratibu wa kufanya tafiti maana syllabus za hilo somo zipo sasa nimemtaka atusaidie ilipo ili tuweze kuipta
 
Sina ila kama mdau wa mambo hayo najua ipo na hata madukani zipo, mtu wa karibu yangu anafundisha hilo somo na anayo....tatizo ni kwamba shule zinazofundisha hilo somo ni chache hasa kwenye mikoa mingi kwa hiyo hata wauzaji wa materials hizo hawaoni uhitaji mkubwa wa kuleta!
Mwezi wa tano this yr nilikua na mkaguzi wa elimu wilaya ya Arusha mjini na alikiri kua haipo! Na aliniambia analifikisha hili jambo kwa kamishna wa elimu...sasa unaponiambia una mtu wa karibu anayo inanishangaza kidogo mkuu.
 
Wadau nahitaji materials ya Literature in English O-level. Nimepangiwa kufundisha hilo somo ambalo limekuwa introduced for the first time hapa shuleni! Mwenye uzoefu yeyote anaeza nisaidia 'experience package' aliyonayo nipate mwanga. For any softcopy materials please send me via sombombo@gmail.com.

Thank you in advance
Ni Ile ile japo kuwa vitabu ndio tofut na vichache uingiliana ila katika theory nikitu kile kle
 
Ni Ile ile japo kuwa vitabu ndio tofut na vichache uingiliana ila katika theory nikitu kile kle
Ni kitabu kimoja tuu cha The Lion and the Jewel ndio kinaingia kwenye masomo yote the rest are totally different.
 
Nakumbuka somo la Literature tulisoma vitabu na kuvichambua.So fuata muongozo na ujuwe ni vitabu vipi vinatakiwa kusomwa vya kiada na vya ziada.I remember sisi tulisoma Things fall apart,Songs of Lawino ,The mine boy,No longer at Ease,The river Between.All in all unatakiwa uwe ushavisoma vitabu vyote vinavyotakiwa kusomwa na uwe umeshavichambua maudhui kabla wanafunzi hawajivisoma.Napenda sana Literature nilipata A ya English O level tena Kayumba .
Ok! Got you
 
Kuna watu wanachanganya mambo hapa.Literature in English ni somo linalojitegemea...ni tofauti kabisa na section D kwenye English language ambapo kuna part ya reading programme.Vitabu vya Literature in English pia ni tofauti.Vitabu vya analysis vipo ukiwa Moshi na Arusha vipo plenty sana.
Yap! Ni kweli boss! Kuna some misapprehension hapo! Vitabu vilivyo kotekote ni lion and jewel tu na poems labda the rest ni tofauti kabsa
 
Ni kweli hadi leo Syllabus ya hilo somo haipo na bado mitihani Necta wanatoa na wanataka mwanafunzi afaulu.It is weird and absurd.Plays kwenye Literature in English ni hizi:The Lion and the Jewel,The Trials of Brother Jero,The Swamp Dwellers,Kinjekitile,Dillema of a Ghost,The Barbed Wire, Dedan Kimati, The Government Inspector.
Thank you bro! I will find them
 
Wizara gani haijatoa hiyo syllabus sema wewe hujaipata na hujatafuta! Kwa nini hatuna utamamaduni wa kufanya utafiti wa kutosha? Pia watu waelewe tunaongelea literature in English na sio English language subject in Tanzania!
Brother i have searched enough! Huenda huku nilipo haipo maana nimetembea shule nyingi wanazofundisha hilo somo hawana! Wana pamphete zinaonesha guidelines tu sio syllabus as syllabus ya literature in english......kama ipo plz nambie zinapatkana wapi!
 
Kuna theory of Literature ambayo ndo introduction to literature, play, novel,poetry. NOTE: Ni play moja tu ya The Lion and The Jewel ndo inaingiliana na English ya darasani, BUT zaidi kuna kitabu kimeandikwa na Meshack Yogo na Godfrey Bukagire kiko vizuri kina kila kitu na vipo kwenye libraries mbalimbali.
Kinaitwaje hicho mkuu nikitafute!
 
73db0eaa1ecf03c3a909c9971bd509a5.jpg
 
Back
Top Bottom