Msaada wa materials ya Literature in English

Msaada wa materials ya Literature in English

mhogofela

Member
Joined
Nov 24, 2017
Posts
24
Reaction score
14
Wadau nahitaji materials ya Literature in English O-level. Nimepangiwa kufundisha hilo somo ambalo limekuwa introduced for the first time hapa shuleni! Mwenye uzoefu yeyote anaeza nisaidia 'experience package' aliyonayo nipate mwanga. For any softcopy materials please send me via sombombo@gmail.com.

Thank you in advance
 
Literature in English ni literature tu mkuu , japo Mimi sijaisoma lakini suala la muhim chek syllabus yake ili ujue contents zake , general na specific objectives baada ya hapo utakuwa vizur .
 
Literature in English ni literature tu mkuu , japo Mimi sijaisoma lakini suala la muhim chek syllabus yake ili ujue contents zake , general na specific objectives baada ya hapo utakuwa vizur .
Tatizo sijawahi iona syllabus yake! I have searched and found none! Hata shule kongwe huku hawana.......na hapo ndo tatzo linapoanzia!
 
Nakumbuka somo la Literature tulisoma vitabu na kuvichambua.So fuata muongozo na ujuwe ni vitabu vipi vinatakiwa kusomwa vya kiada na vya ziada.I remember sisi tulisoma Things fall apart,Songs of Lawino ,The mine boy,No longer at Ease,The river Between.All in all unatakiwa uwe ushavisoma vitabu vyote vinavyotakiwa kusomwa na uwe umeshavichambua maudhui kabla wanafunzi hawajivisoma.Napenda sana Literature nilipata A ya English O level tena Kayumba .
 
Zama play store pakua app ya "thl" then fungua olevel form three utaona hizo notes na muongozo kwa ujumla
 
Kuna watu wanachanganya mambo hapa.Literature in English ni somo linalojitegemea...ni tofauti kabisa na section D kwenye English language ambapo kuna part ya reading programme.Vitabu vya Literature in English pia ni tofauti.Vitabu vya analysis vipo ukiwa Moshi na Arusha vipo plenty sana.
 
Ni kweli hadi leo Syllabus ya hilo somo haipo na bado mitihani Necta wanatoa na wanataka mwanafunzi afaulu.It is weird and absurd.Plays kwenye Literature in English ni hizi:The Lion and the Jewel,The Trials of Brother Jero,The Swamp Dwellers,Kinjekitile,Dillema of a Ghost,The Barbed Wire, Dedan Kimati, The Government Inspector.
 
Tatizo sijawahi iona syllabus yake! I have searched and found none! Hata shule kongwe huku hawana.......na hapo ndo tatzo linapoanzia!
Hakuna syllabus ya as literature! Ipo ya english general na kama wewe ni mwalimu wa hilo somo si uanze ku compile notes zako mkuu???
 
Novels and Short Stories: Tales of Amadou Koumba,Quartet,A walk in the night, Houseboy, The Oldman and the Medal, The Concubine,The three solid Stones, Girls at war, Uncle Toms Children etc
 
Poetry kinatumika kitabu kimoja ambacho ni anthology ya Selected Poems na kimetolewa na TIE,pia ni hicho hicho kinatumiwa na A Level Paper 2 kwenye Poetry.
 
Mpaka sasa hivi wizara haijatoa syllabus ya literature in English kinachotakiwa ni kutafuta mwalimu ambaye anafundisha hilo somo akakupa uzoefu
Wizara gani haijatoa hiyo syllabus sema wewe hujaipata na hujatafuta! Kwa nini hatuna utamamaduni wa kufanya utafiti wa kutosha? Pia watu waelewe tunaongelea literature in English na sio English language subject in Tanzania!
 
Wadau nahitaji materials ya Literature in English O-level. Nimepangiwa kufundisha hilo somo ambalo limekuwa introduced for the first time hapa shuleni! Mwenye uzoefu yeyote anaeza nisaidia 'experience package' aliyonayo nipate mwanga. For any softcopy materials please send me via sombombo@gmail.com.

Thank you in advance
Kuna theory of Literature ambayo ndo introduction to literature, play, novel,poetry. NOTE: Ni play moja tu ya The Lion and The Jewel ndo inaingiliana na English ya darasani, BUT zaidi kuna kitabu kimeandikwa na Meshack Yogo na Godfrey Bukagire kiko vizuri kina kila kitu na vipo kwenye libraries mbalimbali.
 
Ni kweli hadi leo Syllabus ya hilo somo haipo na bado mitihani Necta wanatoa na wanataka mwanafunzi afaulu.It is weird and absurd.Plays kwenye Literature in English ni hizi:The Lion and the Jewel,The Trials of Brother Jero,The Swamp Dwellers,Kinjekitile,Dillema of a Ghost,The Barbed Wire, Dedan Kimati, The Government Inspector.
Poems: selected poems of EA
Novels: Concubine, Houseboy, A walk in the night, etc utakuwa umepata mwanga mdau
 
Wizara gani haijatoa hiyo syllabus sema wewe hujaipata na hujatafuta! Kwa nini hatuna utamamaduni wa kufanya utafiti wa kutosha? Pia watu waelewe tunaongelea literature in English na sio English language subject in Tanzania!
Mkuu wewe syllabus ya Literature in English unayo? Au una access ya kuipata?
 
Mkuu wewe syllabus ya Literature in English unayo? Au una access ya kuipata?
Sina ila kama mdau wa mambo hayo najua ipo na hata madukani zipo, mtu wa karibu yangu anafundisha hilo somo na anayo....tatizo ni kwamba shule zinazofundisha hilo somo ni chache hasa kwenye mikoa mingi kwa hiyo hata wauzaji wa materials hizo hawaoni uhitaji mkubwa wa kuleta!
 
fuata syllabus ya English kawaida,objectives zilezile,
apo ni kuchambua vitabu Mkuu,play 4,novels 4 ,na poem Kama 8 ivi kutoka summons,song of lawino,na poems from east Africa,umemaliza
 
Back
Top Bottom