Project Engineer
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,578
- 6,103
Tatizo tra inapendwa na watu wengi sana
Wametoa AGOA tena?Duh mkuu yani hawa jamaa wa utumishi ni hatari hakuna chochote wametoa vitu vingine kabisa
Aah wapi mambo research formulation kaka yani dah si mchezoWametoa AGOA tena?
Sasa mkuu research uko sindo mteremko tu?Aah wapi mambo research formulation kaka yani dah si mchezo
Mkuu si mpk ukumbuke mana kujibu sio shida je icho unachokijibu kipo sahihiSasa mkuu research uko sindo mteremko tu?
Seriously!!Mkuu na swali lake linakujaje, kama hutojali unaweza toa mfano hili tupate uelewa
Ni kweli kabisaTatizo tra inapendwa na watu wengi sana
lakini watu walisisitiza humu kusoma na researchAah wapi mambo research formulation kaka yani dah si mchezo
Kwa upande wa customs wametoa maswali ya uelewa kutumia akili ila tax officer wamechanganya mambo ya tax audit procedure zake na mambo ya steps za research hypothesisi kiufupi ndo ivyoSeriously!!
Ni kweli lakini mambo ni mengi huwezi maliza yote kikubwa kumwachia mungulakini watu walisisitiza humu kusoma na research
Kuna jamaa yangu mmoja huwa anajaza point 15 kila swaliKwa upande wa customs wametoa maswali ya uelewa kutumia akili ila tax officer wamechanganya mambo ya tax audit procedure zake na mambo ya steps za research hypothesisi kiufupi ndo ivyo
Duh uyo jamaa vp kichuo chuo alikuwa kichwa au mbwembweKuna jamaa yangu mmoja huwa anajaza point 15 kila swali
Alikuwa kawaida sanaDuh uyo jamaa vp kichuo chuo alikuwa kichwa au mbwembwe
Watu kama hao ukiwaangalia unaweza ukasema ushafeli tayaliAlikuwa kawaida sana
Alikuwa kawaida sana
Maofisa ukimaanisha makamishina au maofisa wafanyakazi?swali kuu ni; Taja majina ya maogisa 30 wa tra unaowajua
Maofisa ukimaanisha makamishina au maofisa wafanyakazi?