Msaada wa maswali ya written interview TRA nafasi ya ya Customs Officer

Msaada wa maswali ya written interview TRA nafasi ya ya Customs Officer

Vitu nilivyokuwa najibu Jana hata sijui majibu yalikuwa yanatoka wapi!!! Hivi majibu lini jamani ya interview ys Jana
 
[emoji23][emoji23] mambo ya cannon. Sjui tax base. Kuna mdau kaniambia hapa.. yan ata yeye anadai amejb majb ambayo hayaelew
Dah mkuu ile pepa yani hata sielewi itakuwaje unasoma hivi wanatoa vile
 
simshauri mtu aanze kufikiria wameita wangapi wewe jiandae vizuri tu na interview,ukijiandaa vizuri unakua na nafasi kubwa ya kushinda,sio kila alieomba hizi kazi yupo serious. ,imagine hao walifanyaga intervw angalia ni 50 tu wamefika alama 60 kati ya watu 3015,sasa jiulize hao wengine waliopata 2 ,4 walijiandaa kweli.View attachment 1491887
Kweli kabisaa
 
Back
Top Bottom