Msaada wa maswali ya written interview TRA nafasi ya ya Customs Officer

written ya utumishi au? kama hivyo mlipata bahati sana,mimi nimeshafanya intervw nyingi utumish sijawah kukuta maswali marahisi hivi kwenye written,sana sana nachojua ukienda oral swali la kwanza ni introduce yourself,la pili mention duties za kazi ulioomba baada ya hapo ni maswali mengine ya darasani tu
Umekua ukienda interview kada ipi mkuu?
 
Hello wana JF,

Naomba msaada wa ideas za maswali ya written kwa nafasi ya Customs Officer kwa TRA.

Kwa aliewahi kufanya je utumishi wanauliza nini, na je ni current issues gani za kupitia hasa hasa, na kama ni research ni upande upi zaidi wa kupitia?

Asanteni
hongeraa kwakua selected mkuu
 
Usimpe hongera. Muulize wamechaguliwa wangapi?
simshauri mtu aanze kufikiria wameita wangapi wewe jiandae vizuri tu na interview,ukijiandaa vizuri unakua na nafasi kubwa ya kushinda,sio kila alieomba hizi kazi yupo serious. ,imagine hao walifanyaga intervw angalia ni 50 tu wamefika alama 60 kati ya watu 3015,sasa jiulize hao wengine waliopata 2 ,4 walijiandaa kweli.View attachment AssistantCustomsOfficer(2).pdf
 
Hello wana JF,

Naomba msaada wa ideas za maswali ya written kwa nafasi ya Customs Officer kwa TRA.

Kwa aliewahi kufanya je utumishi wanauliza nini, na je ni current issues gani za kupitia hasa hasa, na kama ni research ni upande upi zaidi wa kupitia?

Asanteni
Inaonyesha umezoea kuibia mitihani darasani.
 
Hello wana JF,

Naomba msaada wa ideas za maswali ya written kwa nafasi ya Customs Officer kwa TRA.

Kwa aliewahi kufanya je utumishi wanauliza nini, na je ni current issues gani za kupitia hasa hasa, na kama ni research ni upande upi zaidi wa kupitia?

Asanteni
Current issues za uchumi especially kama hii ya uchumi wa kati
 
Poleni sana kamanda wangu! Mishe za utumishi hua zinachosha sana! Nauli kama umetoka mkoa,halafu unakuta swali ambalo hata hulijui kabisa
We acha tu mkuu haya maisha kuna wakati unapambana mpaka akili inachoka aisee embu ngoja tuone matokeo yatakapotoka ila dah watu wametoka hadi kigoma alafu unakuja unakuta patupu yani hatari kabisa
 
Back
Top Bottom