Finance management officer ii utumishi wanatoa maswali gani kwenye written interview?

Finance management officer ii utumishi wanatoa maswali gani kwenye written interview?

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,201
Reaction score
3,335
Kwema?
Hivi hawa utumishi written interview ya kada ya finance management officer ii mwajiri akiwa ni msajili wa hazina huwa wanatoa maswali gani?
 
Waliofanya practical interview kwenye hii kada ya finance management officer, ni vitu gani mlikuwa mnafanya? Nilidhani kada hii ni written na oral tu
 
Back
Top Bottom