prince songoroka
Member
- Nov 11, 2019
- 58
- 69
Habar za leo ndugu zangu.
Mwaka 2017 nilihitimu kidato cha nne na matokeo yangu hayakuwa mazuri kiasi cha kuridhisha. Mara baada ya kupata matokeo ya alama ya D tatu, nilikata tamaa na kushindwa kufanya namna ya kujiendeleza.
Katika moja ya kuongea na watu nikaelekezwa chuo ambacho nilisoma kwa muda wa miaka 2, lakiji kumbe kilikuwa hakijasajili.
Now nataka nisome chuo lakin bado nina D tatu zile. Nini nifanye ili nisome chuo bila ya ku-resit mtihan??
Naomba msaada tafadhali