Naomba Msaada wa kazi ya udreva

Simwandata

Member
Jan 19, 2021
8
2
Wakuu kama kichwa cha hii habari kinavyonieleza kijana mwenzenu nahitaji msaada wa kazi ya kuendesha magari madogo au ukondakta wa magari makubwa napatikana Kinondoni studio.

Leseni yangu ina madaraja
A
A2
B
D
E

Kwa yeyote atakae penda kunipa msaada namba yangu ya simu hii hapa.

0692792519.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom