Dorie Benas
New Member
- Jun 5, 2023
- 2
- 5
Hello JamiiForums,
Mimi ni binti yenu, mdogo wenu, rafiki yenu na Mtanzania mwenzenu. Nina miaka 24, mimi nimekuja kwenu nahitaji msaada wa mawazo yenu. Naishi Mwanza napendelea sana kujitoa kwenye jamii, especially kutoa Elimu ya kile ninachokifahamu kuhusiana na Sekta mbalimbali kama Afya, uvuvi n.k
Sasa shida inakuja Exposure sipati yaani natamani nijitolee kwenye taasisi au hata mikutano tu nipewe topic ya kuelezea mambo mbalimbali yanayohusu maendeleo ya nchi yangu, hicho tu napenda sana au nipate vijana wenzangu hata wawili tufanye jambo kubwa kwa vitendo lionekane jamii ipate Elimu kupitia sisi jamani napenda ila nakosa exposure, ninakuwa na idea tu sasa nakosa kuziongea na kuzifanyia kazi kutokana na kukosa sapoti.
Naombeni ushauri nifanye nini