debbug
JF-Expert Member
- Jun 9, 2018
- 562
- 856
Habari za mda huu ndugu zangu, poleni na hongereni kwa mapambano ya maisha ya Kila siku.Nisiwachoshe ngoja niende moja kwa moja kwenye lengo la hii mada
Mimi ni mfanyakazi katika moja ya vyombo vya ulinzi na usalama, na nikwamuda Sasa nimekua nikijiendeleza kimasomo na hatimae mungu ni mwema nimefanikiwa kuhitimu mosomo yangu katika moja ya vyuo hapa Tanzania
Masomo niliyohitimu ni masuala ya usalama wa mifumo/mitandao pamoja na uchunguzi wa kisayansi katika masuala ya kidigitali ,lengo langu nahitaji nipate nafasi katika moja ya taasisi zinazojihusisha vizuri na masuala haya niliyosomea kwa njia ya secondment ,kwa wale wasiojua maana ya secondment labda " ni uhamisho wa muda wa mfanyakazi kutoka katika taasisi moja kwenda taasisi yingine kwa lengo la kuongeza maarifa na kupeana ujuzi mbalimbali"
lakini kikubwa ni Mimi kupata ujuzi na kushilikiana kwa wenzangu namna wanavyofanya kazi kwenye hii taaluma maana kinachohitajika hapa ni practice na sio theory tena .Sasa wakuu naomba kama kunamtu alishawahi kutumia hii njia kuhama kwa muda kutoka taasisi yake ya mwanzo na kuhamia nyigine anisaidie kunipa roadmap ya jinsi yeye alivyofanya na masuala mbalimbali yanayohusu secondment katika taasisi zetu.Asante