Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Huwa kuna loan security, lolote lile linaloweza kutaka kusababisha upotevu wa pesa za benki huwa wanachukua tahadhari hata kama mnamakubaliano, ukisoma loan agreement utaikuta hiyo, mfano boss wake alienda ku ripoti kuwa huyu mtu tunaweza tusiwe naye tena, lazima Benki ichukue tahadhari kwasababu wameambiwa na trusted person ambaye alithibitisha kuwa huyu ni mfanya kaziKwenda kinyume na makubaliano ni kosa! Na sijui ni benki ya aina gani!